Ujenzi wa kutumia Megapanels

Bhikalamba

JF-Expert Member
Dec 6, 2015
1,706
2,353
Wadau naombeni kujua gharama ya kutumia megapanels kujengea ukuta na pamoja na roofing.

Je, ujenzi huu wa kutumia mega panels na ule wa kutumia tofali na bati, upi ni nafuu?. Pia naomba kujua bei ya sheet moja kwa ajili ya ukuta na ya paa pamoja na dimensions zake.

Screenshot_20240113-190538_1705164325752.jpg
Screenshot_20240113-190628_1705164270257.jpg
Screenshot_20240113-190635_1705164234169.jpg
Screenshot_20240113-190407_1705164140109.jpg
Screenshot_20240113-190645.png
 
Wadau naombeni kujua gharama ya kutumia megapanels kujengea ukuta na pamoja na roofing.

Je, ujenzi huu wa kutumia mega panels na ule wa kutumia tofali na bati, upi ni nafuu?. Pia naomba kujua bei ya sheet moja kwa ajili ya ukuta na ya paa pamoja na dimensions zake.
Weka picha
 
Nyumba nzuri, lakini nashangaa kwanini kiwanda chenyewe kimejengwa kwa tofali za kawaida.
Wangeonyesha process nzima ya ujenzi tangu kuanza hadi kumaliza. Bomba na wiring ya umeme inavyowekwa. Pia waeleze gharama ya nyumba ya hizo material inakuwa kiasi gani.
 
Nyumba nzuri, lakini nashangaa kwanini kiwanda chenyewe kimejengwa kwa tofali za kawaida.
Wangeonyesha process nzima ya ujenzi tangu kuanza hadi kumaliza. Bomba na wiring ya umeme inavyowekwa. Pia waeleze gharama ya nyumba ya inakuwa kiasi gani.
Ndo maana nikapost humu jukwaani tupate msaada kwa wajuvi
CC: MoseeYM
 
Hii itakuwa wiring, mfumo wa maji uweke kabisa, naona huu sio ukuta wa kutindua tindua.
 
Hizi Nyumba ziko wapi/eneo gani hapa mjini Dar es Salaam? Ni vizuri tukaziona na kuangalia process nzima ya ujenzi wake.
Ikitokea hitilafu ya maji kuvuja au kuhitaji matengenezo unafanyaje unawaita wao au unatindua na kuweka tofali?

Wanatoa guarantee yoyote au preventive maintanance ikiwa kuna hitilafu, maana usije ukakwepa tofali alafu ukatumia ujenzi huu siku ukipata tatizo unatoa macho kama mwizi.
 
Back
Top Bottom