Search results

  1. Hmaster

    Rafiki yako wa karibu ndio mrithi wa mwenza wako

    Amini amini nawaambieni ya kwamba yule unayemwona kama ndio rafiki yako kipenzi saaana kiasi hata mpenzi au mwenza wako anajua namna mlivyoshibana katika urafiki wenu ndo huyo huyo anakuja kuwa mbadala wako kwa mpenzi au mweza wako punde tu utakapokufa. Najua wengi watajifariji kwa kusema...
  2. Hmaster

    Penzi ndani ya ndoa tamu jamani

    Yaani we acha tu. Mtu unamgegeda mkeo kwa raha zote, tena wala huvai mananihino kunako eti kuongopa ngoma wala nini. Yaani ni kutafuna tu pekupeku tena bila wasiwasi wowote ule. Hata ukichunwa na mkeo wala huoni ubaya wake kwa vile anaendelea tu kustawisha mwili wake kwa ajili yako daima...
  3. Hmaster

    Mijini kwa utapeli

    Nina uhakika kwa wale waishio mijini na hata katika baadhi ya vijiji aidha wamewahi kutapeliwa au kusikia mkasa wa mtu fulani kutapeliwa au kuibiwa kwa ujanja ujanja flani. Mimi hapa nina mkasa mmoja ambao ulimtokea mwenzetu mmoja enzi tunapanga nyumba moja maeneo ya flani DSM. Nyumba tuliyokuwa...
  4. Hmaster

    Nipo tayari kuongozwa na shetani huyu!

    Shetani ni shetani kama ilivyo kwa kiumbe mwingine hawezi akajibadirisha na kuwa kiumbe tofauti labda kwa kutoka katika maisha ya kishetani na kuishi kivingine kabisa labda kama binadamu nje ya makazi ya kishetani kama hilo ataweza. Hata hivyo ninaamini ndani ya kundi kubwa la mashetani...
  5. Hmaster

    Kwanini Serikali Mbili?

    Kama kweli CCM wanataka kuonyesha uma kwamba hawataki muundo wa serikali tatu kwa maana kwamba utavunja muungano ni kwanini wanakazania muundo wa sasa wa ser. 2? Mi ningewaona ni waungwana na wakweli na wanamaanisha kama wangeshawishi tuingie mfumo wa ser.1 kwa vile ingekuwa imetupilia mbali...
  6. Hmaster

    Girl & Boyfriend

    A girl removed her jeans , threw it at her boyfriend and said., "MAKE ME FEEL LIKE A WIFE" Boy removed his jeans , threw it at the girl and said., "WASH BOTH THE JEANS RIGHT NOW !!" :argue:
  7. Hmaster

    Kauzu zaidi ya dagaa!

    Wakiwa bustanini wamepumzika; Eva: Adamu naomba unieleze ukweli kama kweli unanipenda kwa dhati mpenzi wangu? Adamu: Mi sikupendi, kwani niliwahi kukwambia nakupenda? Eva : Sa kama hunipendi mbona unalala na mimi kila siku, si ungeniacha? Adamu: Siwezi kumaliza sabuni wakati wewe upo, mngekuwa...
  8. Hmaster

    Mtoto Umleavyo ...!

    Baada ya kupata umri mtoto mmoja wa kiume alitengwa kulala na wazazi wake na kuanza kulala na dada zake. Ikifika usiku lazima awaeleze dada zake kwamba anataka kukojoa na humpeleka chooni kwa ajili hiyo. Siku moja akawauliza dada zake ni kwa nini akitaka kukojoa wanampeleka chooni wakati baba na...
  9. Hmaster

    Viongozi CHADEMA, Vipi kuhusu bendera ya ADC?

    Kwanza kabisa napenda kuanza kwa kuwapa pongezi kwa kazi kubwa mnayoifanya kusini mwa nchi yetu kwa sababu kwa kufanya hivyo tunaendelea kujihakikishia kushika dola hapo 2015. Pamoja na pongezi hizo ningependa kujua msimamo wa CHADEMA kuhusu rangi za bendera ya chama kipya cha ALLIANCE FOR...
  10. Hmaster

    Kisa na mkasa Mapenzini!

    Katika mahusiano ya kimapenzi, iwe kati ya wanandoa, wachumba, wapenzi au hata usio rasmi (wa kimalaya) lazima kwa umri wako ulishakutana na kisa ambacho hadi leo huenda imebaki ni historia kichwani mwako. Kwa upande wangu mimi ni haya mawili:- 1. Kumlaghai mdogo wa mke wa kaka (shemeji)...
  11. Hmaster

    Tiba ya kipara

    Jamaa mmoja mwenye kipara alikwenda kwa mganga ili apewe dawa ya kuotesha nywele kipara chake. Mganga akamuuliza kama ana mke, jamaa akakubali. Basi mganga akamwambia dawa yake ni kusugua ule upara kwenye k*m* ya mke wake kwa siku 3. Jamaa kusikia vile akadharau na kumwona mganga ni mwongo kwa...
  12. Hmaster

    Chozi la Mwanamke

    Hivi jamani chozi la mwanamke linamaanisha nini ??? kwa kuwa kwenye shida analia, kwenye furaha pia hutokwa na machozi, akimuona mume/mchumba na mwanamke mwingine pia hulia, ukimfumania na mwanamume mwingine pia hulia, isitoshe pia hata kwenye kale kamchezo pia hulia!!! Ana nini mwanamke na...
  13. Hmaster

    Ninachukizwa sana.....

    Ninachukizwa sana na taarifa juu ya OCD Arusha kuwaita wananchi wenzie panya, Ninachukizwa sana na jinsi serikali inavyoufanyia mzaha muswada wa katiba mpya, Ninachukizwa sana na tabia ya baadhi ya wabunge kulala bungeni wakati vikao vikiendelea, je wewe unachukia nn?
  14. Hmaster

    Majibu ya Karaha

    MAMA MKWE; Binti samahani...., kiukweli mtoto hafanani na kijana wangu kabisa BINTI; Mama bila samahan, huku chini nina njia ya uzazi na siyo mashine ya photocopy
  15. Hmaster

    Kesi isiyo na mashahidi mbaya!

    Jamaa amefanikiwa kumwoa mwanamke ambaye hajawahi kumvua chupi. Lakini alipoanza naye maisha mwanamke anakataa katakata kutoa ile kitu inayokamilisha ndoa: baada ya kushindwa kumshawishi na hata kutumia nguvu kiasi, jamaa akaamua kwenda kumshitaki mke kwa viongozi wa dini. Mwanamke akabisha...
  16. Hmaster

    Bakari, the house boy!

    Bakari is a house boy who every day drinks the wine of his Boss and puts water in the bottle to replace what he drank. But the Boss having suspicions as for the quality of the wine, he decides to buy pastis (a French wine that changes colour if you add water). Bakari as usual, takes a mouthful...
  17. Hmaster

    Ungeupokeaje Ushauri huu?

    Muumini mmoja katika kanisa fulani kijijini alikuwa haridhishwi na mkewe katika kufanikisha tendo la ndoa kiasi cha kuamua kuomba ushauri kwa mchungaji wao. Mchungaji akamweleza yule muumini ampe muda atalishughulikia na kumpa ushauri unaofaa zaidi, muumini akakubali. Baada ya wiki mbili jamaa...
  18. Hmaster

    TUCTA inatutenga!

    Habari zenu wooote wana jf wenzangu. Nawaomba sana mnivumilie kwa kuiweka mada hii katika jukwaa hili kwani naamini jukwaa hili ndilo linalopitiwa na wengi zaidi kuliko mengine hivyo nategemea michango mingi pia.Mimi ni mmoja wa wafanyakazi wa muda mrefu tu katika sekta binafsi hapa nchini na...
  19. Hmaster

    Natafuta Nyumba Ndogo

    1. Isiwe ndogo saaana, 2. Iwe nzuri na yenye mvuto, 3. Isiwe imetumika mno, 4. Isiwe na umeme, 5. Iwe maeneo ya uswazi (cheap), 6. Iwe nyeupe na ndefu, 7. Mpangaji niwe peke yangu, 8. Isiwe na masharti mengi, 9. Nisizuiliwe kutumia huduma za tigo, 10. Iwe katika mazingira ya usafi. Nyumba...
  20. Hmaster

    Sara Wakati wa dinner

    At dinner a little boy offered to lead in prayer; Dear GOD, I thank you for giving me such lovable parents. Thanks for visitors and their children who finished all my cookies & ice cream. Bless them so that they won’t come again. Forgive our neighbour's son who was wrestling with my sister on...
Back
Top Bottom