Kisa na mkasa Mapenzini!

Hmaster

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
346
86
Katika mahusiano ya kimapenzi, iwe kati ya wanandoa, wachumba, wapenzi au hata usio rasmi (wa kimalaya) lazima kwa umri wako ulishakutana na kisa ambacho hadi leo huenda imebaki ni historia kichwani mwako. Kwa upande wangu mimi ni haya mawili:-
1. Kumlaghai mdogo wa mke wa kaka (shemeji) kumkandamiza kwa lengo la kumwoa baadaye lakini kwa bahati mbaya alipata ujauzito. Ilipothibitika hivyo si nikakataa na hapo ndo timbwili lilipoibuka kimyakimya hadi mimba ikatoka na tukawa hatuongei hadi miaka ya karibuni kila mtu akiwa na familia yake.
2. Katika kutafuta demu wa kuzuga nae night moja nikazuka kituo cha basi maeneo ya Mwembechai Dar, nikakuta demu amekaa kimauzo akiwa amejitanda kwa khanga. Kumweleza akakubali lakini tulipofika G/House nikamwona kumbe alikuwa mwanamke mzee sana, nikamtoroka. Hadi leo nimekuwa na nidhamu sana na familia yangu.
TAFADHALI KAMA UNA KISA TUMEKEE HAPA!
 
huku nikiwa najiandaa kwakujiweka sawa kimawazo ili kumkabili binti ambae kwa akili yangu nilihs ni bikira nikamhoji swali hiv tangu uvunje ungo umewah ku du na wanaume wangapi? akajibu kwa aibu kama 20Tu! nguvu zkaisha jogoo akalala nami nikatembea.
 
hahaha pole kakwambia makusudi ili ukate tamaa ya kula tunda
 
Back
Top Bottom