Natafuta Nyumba Ndogo

Hmaster

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
346
86
1. Isiwe ndogo saaana,
2. Iwe nzuri na yenye mvuto,
3. Isiwe imetumika mno,
4. Isiwe na umeme,
5. Iwe maeneo ya uswazi (cheap),
6. Iwe nyeupe na ndefu,
7. Mpangaji niwe peke yangu,
8. Isiwe na masharti mengi,
9. Nisizuiliwe kutumia huduma za tigo,
10. Iwe katika mazingira ya usafi.

Nyumba nitakayoipata na kuniridhisha kwa haya yote 10 nitafanya mazungumzo ya kuinunua kabisa ili iwe yangu kabisa. Nawasilisha!
 

Tikerra

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
1,703
144
Aisee hii kweli ni JF for lunatics.Yaani hata aibu huoni unatangaza ufuska wako wazi wazi.Kama bado wewe sio Freemason ni heri ukajiunga tu,maana wao haya ndio mambo yao.
1. Isiwe ndogo saaana,
2. Iwe nzuri na yenye mvuto,
3. Isiwe imetumika mno,
4. Isiwe na umeme,
5. Iwe maeneo ya uswazi (cheap),
6. Iwe nyeupe na ndefu,
7. Mpangaji niwe peke yangu,
8. Isiwe na masharti mengi,
9. Nisizuiliwe kutumia huduma za tigo,
10. Iwe katika mazingira ya usafi.

Nyumba nitakayoipata na kuniridhisha kwa haya yote 10 nitafanya mazungumzo ya kuinunua kabisa ili iwe yangu kabisa. Nawasilisha!
 

CAMARADERIE

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
4,423
1,911
Hii hapa....

20-1205e-1195_plan-detail.jpg
 

Hmaster

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
346
86
iwe imeshapangishiwa wapangaji wangapi,
je wapangaji wengine kama wameRIP itakuwaje.
wapangaji wa huko nyuma mi si kazi yangu kujua ila kwa sasa isiwe na mpangaji. Kuhusu wapangaji wengine wameRIP sijari kwani kama waliRIP kwa maralia mi ntatumia nets every day.
 

Hmaster

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
346
86
Aisee hii kweli ni JF for lunatics.Yaani hata aibu huoni unatangaza ufuska wako wazi wazi.Kama bado wewe sio Freemason ni heri ukajiunga tu,maana wao haya ndio mambo yao.
We mwenyewe ulizaliwa nyumba ndogo, bisha nikuhakikishie!
 

Bucad

Senior Member
Aug 15, 2011
119
21
Bila shaka hiyo kubwa uliyosema ina matatizo ilikuzuia usitumie huduma za tigo.Kwahiyo umeamua kukaidi na kutafuta ndogo itayokuruhusu kutumia huduma hizo! Haya kaka!
 

kikahe

JF-Expert Member
May 23, 2009
1,350
280
Je iwe na uzio? Mabati yake unataka yawe vipi? Je kama hilo eneo Tigi imezidiwa na wingi wa wateja kiasi kwamba network haipatikani?
 

Olive

Member
Jun 25, 2011
88
9
Umezoea kupopolewa wewe ndo sasa waona upopoe na wewe sasa,endele na hako kamchezo mwisho wa siku utaona helicopter ina kataa kupaa,mpu........ziiiii
 

BPM

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,760
572
kama nyumba kubwa ina matatizo inawezekana tatizo ni wewe ..................
 

g.n.n

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
407
49
msisahau hili ni jukwaa la utani kwahiyo kama ni upuuzi anaufanya mwacheni maana ni jukwaa lake.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom