Chozi la Mwanamke

Hmaster

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
346
86
Hivi jamani chozi la mwanamke linamaanisha nini ???
kwa kuwa kwenye shida analia, kwenye furaha pia hutokwa na machozi, akimuona mume/mchumba na mwanamke mwingine pia hulia, ukimfumania na mwanamume mwingine pia hulia, isitoshe pia hata kwenye kale kamchezo pia hulia!!! Ana nini mwanamke na machozi yake?

 
Chozi ni ishara ya kuonewa huruma na kupendwa hata kama atakuwa amekosa. Na katika furaha pia ukiliona linakupa kumbukumbu nzuri yenye uhusiano na kupendwa.
 
Chozi la mwanamke linaashiria furaha pia huzuni kwa katika mema na mabaya ambayo wanadamu tumeamuliwa. Kazi inakuwa pale dume nalo linapomwaga jozi.
 
kuna memba mmoja humu anaitwa Susy,hebu cheki avatar yake,utapata picha meeeeeeeen.
 
lakini chozi la mwanamke linadondoka tu kwa mtu special, sio kwa kila mtu.
 
chozi la mwanamke linaashiria ulaini wa moyo wake na uwepesi wa kuitikia vichocheo vya kihisia. Moyo wa mwanamke ukipondeka hutoa chozi na hii humsaidia kupunguza msongo wa mawazo na maumivu ndio maana wanawake ni wepesi kusamehe na kusahau, moyo wa mwanamke ukifurahi chozi pia hudondoka kama ishara ya kuonesha kuridhishwa kwake na kilichomfurahisha. Kwa mwanaume ni tofauti kwani moyo wa mwanaume ni mgumu na si rahisi kuonesha hisia. My take, lol
 
Chozi ni silaha ya mwanamke, its how they are made, if a woman don't cry, she is not a real woman. You can see a beaut of woman when crying. When she is hurt, she cries to cure herself, when she is happy, she cries to express her happiness. When she did wrong, she cries to show regret.
When woman cries, it doesn't mean she is weak. Always women are strong. God found that women's are stronger, that is why choose them to be men's helper.


GOD BLESS WOMAN


 
Chozi la Mwanamke ni paana saana...

Ila naizungumzia vile mimi naelewa.... Wanawake wengi sasa hivi tumechakachuliwa hadi humo vijijini, hivo saa ingine maana na mantiki ya chozi la Mwanamke limebaki kwa wachache... Naona "Chozi la mwanamke" huonekana zaidi (au naweza sema effect yake yaweza kua vivid zaidi) kama huyo mwanamke ni passive.... in the sense yeye yoote ambayo hutendewa (hasa ya kumkandamiza) humeza tu! Kulalama kwake ni ngumu, anaumia tu moyoni, na hata akiwa na malalamiko huishia moyoni kwake for hana ambapo anaona anaweza yatua.... Hayo machozi mara nyingi ni in relation matendo mabaya yalo kithiri... na ambayo Kaonewa/simangwa/nyanyaswa na mengine kibao ili mrad ni ya kumfinyanga moyo wake mpaka akaumia kupita maelezo.... Mwanamke wa namna hii akitoa chozi lake anaweza asipige kelele wala asitoe sauti... BUT its effect is astounding....

Machozi hayo mara nyingi in reality go an heard.... atalia ndani mwake na chumbani mwake yaani mpaka akalia hadharani ujue alishalia ndoo na ndoo na for long, wengine wana nyota kali for machozi yake yaweza badilisha maisha ya mhusika for the worse... but in most cases weengi ni kama tu machozi ya samaki baharini....
 
Sometimes chozi la mwanamke lile la uchungu ni baya sana kwa aliyemtenda,unaweza hata usifanikiwe hadi akusamehe na mungu akusamehe
 
Haya ndio majaliwa yetu japo siku hizi kwa baadhi yetu hulitumika vibaya kulingana na tukio.
 
Back
Top Bottom