Search results

  1. mbasa ya konge

    Unaweza badili chuo?

    Nilichaguliwa vyuo viwili UDOM na Mzumbe University lakini nilikofemu kwenda Mzumbe nikijua nitapata mkopo wa kutosha kutoka bodi lakini nipewa mikopo mdogo sana . Wanajukwaa kuna uwezekano wa kubadili chuo niende udom ambapo tution fees ni ndogo.
  2. mbasa ya konge

    Msaada: Nimeulizwa swali na mke wangu nimeshindwa kulijibu

    Wakuu mke wangu ameniuliza swali ambalo nimeshindwa kulijibu na limesababisha nianze kumhisi vibaya mke wangu. Aliniuliza hivi "Mme wangu mbona huwa huninyonyi papuchi?" Kusema kweli kwa swali hili tata aliloniuliza nimeanza kumtilia mashaka kwamba yawezekana ana mwanaume mwingine ambaye...
  3. mbasa ya konge

    kwema wakuu.

    Najifunza kupost thread tafadhali msinitukane.
  4. mbasa ya konge

    Pale nilipomuandalia sherehe mke wangu halafu akaanza kuwalisha keki wanaume wengine..

    Wakuu bila shaka ni wazima wote. Wiki mbili zilizopita nilikuwa na hafla fupi ambayo ilikuwa hafla isiyokuwa na muongozo wa MC. Ilikuwa hafla ambayo nilifanya kama sehemu ya kumpongeza mke wangu kwa kutimiza miaka 24. Lakin kitu kilichonichefua na kujuta kwa nini niliandaa hafla hii ni pale mke...
  5. mbasa ya konge

    Je, Magufuli atafikisha hata asilimia 45% kwenye uchaguzi wa 2020?

    Wakuu nimeamua kuwauliza swali kama mkuu wetu wa nchi kama atafikisha hata asilimia 45% katika uchaguzi wa mwaka 2020. Kwasababu nikianza kuangalia pande zote za nchi kuna vilio tupu. Wafanyakazi wanalia, Bukoba wanalia kwa kudhulimiwa hela za maafa, wabuge wanalia bila shaka mlijionea wenyewe...
  6. mbasa ya konge

    Mbona mapato ya kila mwezi hatusomewi?

    TRA mwanzoni walikuwa na utaratibu mzuri tu wakusomea mapato ya kila mwezi lakin sikuhizi hawafanyi mbwebwe kama hizo. Sijui tatizo nini ndugu hebu tufamishane kwa wale wanaojua sababu.
  7. mbasa ya konge

    Nataka kumpeleka mke wangu chuo lakini roho inasita

    Ndugu zangu, Mke wangu ni mmojawapo wa mwanachuo aliyechaguliwa kujiunga na chuo fulani hapa nchini. Nimeamua kuja kuomba ushauri kwenu kwa sababu upande mmoja wa roho yangu unaniambia usimruhusu na upande mwingine unaniambia mruhusu. Hili limetokana na tetesi nyingi zinazowahusu wake wa watu...
  8. mbasa ya konge

    Mke wangu hataki niende kwenye mpira

    Bila shaka wengi wanaume tulioa tunakutana sana na kisanga hiki. Mara nyingi wake zetu wamekuwa na tabia za kutukataza kwenda kwenye mechi mbalimbali hasa zile zinazochezwa usiku. Hili limekuwa karo sana kwangu coz mke wangu anakuwa ananuna sana pale ninapolazimisha kwenda bila ridhaa yake...
  9. mbasa ya konge

    Sifa za kufanya mtihani wa kidato cha sita 2017

    Wakuu naomba msaada anayejua sifa mpya za kufanya mtihani wa kidato cha sita 2017. Kuna dogo langu nilimpeleka private school ana C tatu na D kama tano hiv lakin amekataliwa kufanya mtihani kama school candidate. Tafadhali anayejua sifa mpya za necta anijuze
  10. mbasa ya konge

    Kuombwa hela (mizinga) ya wakwe imenichosha

    Wakuu, Mimi ni mgeni kwenye ndoa, nina kama mwaka mmoja hivi tokea nimuoe mke wangu. Lakini kitu kilichonifanya niandike huu ni kutokana na kuchoshwa na kuombwa ombwa hela na ndugu wa mke wangu. Sijui utambiwa tusaidie hela ya kitu gani. Jamani matatizo hayaishi ukweni na huku mahari nilitoa...
  11. mbasa ya konge

    Picha nzuri za faceebok, na instigram zimenifanya nishindwe kuacha punyeto

    Jamani nisaidieni, Yaani kila nikiona picha nzuri za warembo kwenye mtandao wa faceebok na instigram akili yangu huwa inachanganyikiwa sana na kufanya maamuzi ya kuanza kujichua huku nikiziangalia hizo picha. Nimeshindwa kuacha hiyo tabia naomba msaada.
  12. mbasa ya konge

    Naomba msaada wa dawa ya kusafisha ulimi

    Wakuu naomba dawa au ushauri wa namna ya kuutunza ulimi kwan nimekuwa na tatizo la kutokwa kama vidonda kwenye ulimi halafu na kupotea kwa muda mfupi. Sina HIV wala kisonono na huwa natatumia antibiotic aina ya axmoxyllin yanatoka halafu ya baada ya siku chache
  13. mbasa ya konge

    Naomba Rais aifoward sikukuu ya wafanyakazi (Mei Mosi)

    Kama kichwa hapo juu kinavyojieleza. Namuomba mweshimiwa rais atuongezee siku ya Jumatatu baada ya sikukuu ya Mei Mosi kwasababu sikukuu hiyo itaangukia siku ya Jumapili. Hii inatokana na mkuu wetu wa kaya aliyepita alikuwa ametuzoesha hivyo kwa kutupa mapumziko hata ya siku moja sisi...
  14. mbasa ya konge

    Ushauri: Mdogo wangu ni shoga, alianza akiwa shuleni

    Wazima wanajamvi, Ninamdogo wangu anatabia za ushoga ingawa mimi naishi naye mbali niliambiwa tu jamaa zangu ambao wanaishi naye. Nilimpigia simu kwa lengo la kumkanya hiyo tabia lakini jibu alilonipa ni kwamba hawezi acha hiyo tabia coz ameanza kuingiliwa kimwili tokea akiwa shule ya msingi...
  15. mbasa ya konge

    natafuta mchumba

    Wakuu natafuta mchumba anataka kuja kuwa mke nina miaka 32.. Nafanya kazi wizara ya ardhi: mchumba umri awe sio zaid ya miaka31
Back
Top Bottom