mbasa ya konge
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 202
- 436
Wazima wanajamvi,
Ninamdogo wangu anatabia za ushoga ingawa mimi naishi naye mbali niliambiwa tu jamaa zangu ambao wanaishi naye.
Nilimpigia simu kwa lengo la kumkanya hiyo tabia lakini jibu alilonipa ni kwamba hawezi acha hiyo tabia coz ameanza kuingiliwa kimwili tokea akiwa shule ya msingi na watoto wenzake.
Ingawa hao watoto tuliwafikisha kituo cha polisi. Naomba msaada wenu nitumie njia gani ili aache tabia hiyo na sasa hivi yuko four tumeshamfukuza nyumbani anaishi kwa marafiki zake.