mbasa ya konge
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 240
- 599
Bila shaka wengi wanaume tulioa tunakutana sana na kisanga hiki. Mara nyingi wake zetu wamekuwa na tabia za kutukataza kwenda kwenye mechi mbalimbali hasa zile zinazochezwa usiku. Hili limekuwa karo sana kwangu coz mke wangu anakuwa ananuna sana pale ninapolazimisha kwenda bila ridhaa yake.
Sijui nyie wakuu wazoefu kwenye ndoa huwa mnatumia technigue zipi ili kuweza kumhadaa mke akukubalie kwenda.
Sijui nyie wakuu wazoefu kwenye ndoa huwa mnatumia technigue zipi ili kuweza kumhadaa mke akukubalie kwenda.