Sifa za kufanya mtihani wa kidato cha sita 2017

mbasa ya konge

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2015
Posts
240
Reaction score
599
Wakuu naomba msaada anayejua sifa mpya za kufanya mtihani wa kidato cha sita 2017. Kuna dogo langu nilimpeleka private school ana C tatu na D kama tano hiv lakin amekataliwa kufanya mtihani kama school candidate. Tafadhali anayejua sifa mpya za necta anijuze
 
hey, what I know is km hakufanikiwa kutengeneza credit (grade C) combination ya masomo ya masomo ma3 ni dhahiri hatochaguliwa. wanachokifanya ni kwamba ktk C tatu za mdogo wako ili afanye km school candidate NI LAZIMA ktk masomo ma3 ya combination, mawili awe na "grade C". mfano PGM, lazima masomo mawili yawe na C na lingine lolote lenye C ndio atafanya km S.C
 
Ahsente mkuu
 
Mfumo umebadilika kufanya school unatakiwa uwe umepata c 3 katika combination yako mfano hkl c h .K c . l C.Ndo uwe school candidate ilianza form six tuliomaliza mwaka 2016 nakama ana ivyo atafanya pc tena mwambie dogo asijalibu kuwachezea necta akajisajili alafu jina likatema atafanya paper mwaka 2018 kama pc school kwetu kunawatu waliwabishia walimu wakalazimisha na ilipofika mwezi wa 2 majina yalivyo rudi kutoka necta walikosa kufanya paper . pia kwa wanaochukua egm eca wanatakiwa lazima wawe na c mbili yani ya masomo yao mawili ambayo uchumi sio somo la o level
 
Nimekuelewa mkuu
 
Sasa kwa waliochaguliwa kidato cha tano katika shule za Serikali mwaka 2015 na sasa wako kitato cha sita na ufaulu wao katika combination yao wanna D mbili na B moja itakuwaje Mfano huyu mwenye huu ufaulu 2.0 CREDIT CIV - 'E' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'B' ENGL - 'B' LIT ENG - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'C' na alipelekwa HGL
 
Mm nimemaliza 2016 na kuna watu kibao walikuwa na D moja kwenye comb na wamefanya kama school candidates kama kawa, waliokuwa na F kwenye comb ndo walipiga kama pc...mfano mtu kwenye comb alikuwa na CCD alipiga pepa kama kawa school candidate...lbda shule yenu ndo necta walizingua
 
Nilisahau sifa kubwa kwa aliekosa c 3 alitakiwa awe na division three o level kama auna utakuwa pc
 
Sasa kwa waliochaguliwa kidato cha tano katika shule za Serikali mwaka 2015 na sasa wako kitato cha sita na ufaulu wao katika combination yao wanna D mbili na B moja itakuwaje Mfano huyu mwenye huu ufaulu 2.0 CREDIT CIV - 'E' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'B' ENGL - 'B' LIT ENG - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'C' na alipelekwa HGL
Atafanya school coz point ni division three
 
Huu mfumo umewekwanza ili kudhibiti wale walio risit masomo chini ya 7 na akupata c zenye mfanano simnajua necta awaonganishi vyeti na kutoa divison moja
 
1.Lazima uwe raia wa Tanzania

2.Lazima uwe umesajiriwa na baraza la mitihani (Necta) kabla ya kufanya mtihani wako

3.lazim uwe umejisajiri katika kituo kinacho tambulika na kilicho sajiriwa na baraza la mitihani
 
CONCLUSION

Kama mwanafunzi amepata 3 O-level
na katika masomo yake yote ana jumla ya C tatu
huyo anaruhusiwa kuwa school candidate akiwa na DCC combination
kama ni EGM au HGE awe na DC katika masomo yake mawili kwani economic sio la O-level
Tofauti na hapo awe private candidate.
 
hey, what I know is km hakufanikiwa kutengeneza credit (grade C) combination ya masomo ya masomo ma3 ni dhahiri hatochaguliwa. wanachokifanya ni kwamba ktk C tatu za mdogo wako ili afanye km school candidate NI LAZIMA ktk masomo ma3 ya combination, mawili awe na "grade C". mfano PGM, lazima masomo mawili yawe na C na lingine lolote lenye C ndio atafanya km S.C
Umetoa clarification nzuri ila nakumbuka ni kama wiki mbili hivi zilizopita nilimsikia mwenye dhamana akisema credit ziwepo walau zaidi ya C mbili zinahitajika kwenye tahasusi. Sasa kama hizo zake zipo na mtawanyiko mpeleke collage au avimbe arudie maana zote huhesabiwa kwenye kikao kimoja plus sayansi ni lazima akiingia hapo atapiga ndinga tisa. Elimu ya tanzania sio tatizo tu ila pia ina matatizo!!
 
Lazima awe na C tatu kama ana awena division three kinyume na apo afanye pc atatoka sana .Kwa form 5 this yr wanaenda lazima c mbili za tahasusi kama ana aende chuo
 
Wadau mm naomba kuuliza kuwa mm nahitaji kupiga kama pc PGM na Nina point 8 . lkn nimemaliza 2010 nikaenda kusoma egm mwaka huohuo nikaunga chuo nimemaliza lkn nataka kupiga 6 tena kwa kombi ya pgm
 
Je mtu mwenye ccc kwenye komb lakin ana division 4 point 26 analuhusiwa kupiga school candidate
 
Sifa ya kufanya mtihani kidato cha sita ni sawa na sifa ya kuchaguliwa kidato cha tano. Angalia muongozo wa serikali kwa 2018 ambao haupitani na ule wa 2017 hapa chini.
 
Attachments

  • Vigezo kuchaguliwa kidato cha 5.jpg
    Vigezo kuchaguliwa kidato cha 5.jpg
    58.1 KB · Views: 346
Back
Top Bottom