natafuta mchumba

mbasa ya konge

JF-Expert Member
Nov 10, 2015
202
436
Wakuu natafuta mchumba anataka kuja kuwa mke nina miaka 32.. Nafanya kazi wizara ya ardhi: mchumba umri awe sio zaid ya miaka31
 
Mimi naamini mchumba inabidi akupende kabla hamjaenda kwenye ndoa. Maana yangu ni kwamba kwa post hii utapata applicants wa ndoa, sio mwanamke anayekupenda wewe kama ulivyo. Just maoni but all the best
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom