Naomba msaada wa dawa ya kusafisha ulimi

mbasa ya konge

JF-Expert Member
Nov 10, 2015
202
436
Wakuu naomba dawa au ushauri wa namna ya kuutunza ulimi kwan nimekuwa na tatizo la kutokwa kama vidonda kwenye ulimi halafu na kupotea kwa muda mfupi.

Sina HIV wala kisonono na huwa natatumia antibiotic aina ya axmoxyllin yanatoka halafu ya baada ya siku chache
 
Mkuu angalia usikute tatizo lako limetokana na kuzama chumvini, maana iliwahi kuelezwa madhara ya kuzama chumvini yanaathiri sana ulimi na koo

Otherwise unahitaji uchunguzi wa kina kwa tatizo lako.
 
Inaweza kuwa Lack of vitamin C

Jaribu kula sana machungwa na vitu vyote vinavyoweza kukupa vit C au nunua vile vidonge vya vitamin C utumie kwa muda huenda ikakusaidia
 
Back
Top Bottom