Naomba Rais aifoward sikukuu ya wafanyakazi (Mei Mosi)

mbasa ya konge

JF-Expert Member
Nov 10, 2015
202
436
Kama kichwa hapo juu kinavyojieleza. Namuomba mweshimiwa rais atuongezee siku ya Jumatatu baada ya sikukuu ya Mei Mosi kwasababu sikukuu hiyo itaangukia siku ya Jumapili.

Hii inatokana na mkuu wetu wa kaya aliyepita alikuwa ametuzoesha hivyo kwa kutupa mapumziko hata ya siku moja sisi wafanyakazi.

Nakuomba sana mweshimiwa rais uige mfano huo.
 
Back
Top Bottom