Mbona mapato ya kila mwezi hatusomewi?

Madeni ya kukusanya yameisha,biashara zimedorora.meli hakuna watangaze nini sasa,labda kodi ya majengo wakiaanza

Nb; Hata jeshi wanalia ukata hawawezi hata kulipa umeme,halafu chizi mmoja anasema serikali Ina fedha
 
Ndio sababu hasa ya vitisho na ukali wa mkulu kuongezeka. Mapato yameshuka na anaogopa kuulizwa ahadi alizotuhaidi.
 
TRA mwanzoni walikuwa na utaratibu mzuri tu wakusomea mapato ya kila mwezi lakin sikuhizi hawafanyi mbwebwe kama hizo. Sijui tatizo nini ndugu hebu tufamishane kwa wale wanaojua sababu.

Wewe hutaki kujishuhulisha tu. Nenda kwenye website ya benki kuu. Kuna taarifa ya kila mwezi. Unapata kila kitu ndugu yangu. Makadirio, mapato na matumizi ikiwemo vyanzo vyote vikubwa vya kodi. Utaangalia pia na wale waliosema kodi itapunguza watalii-unaweza kuwapigia simu kuwauliza kuna nini tena; mbona imekuwa hivyo. Wanakuwekea mpaka ya Zanzibar. Hii inaitwa efficiency; tunaondoa process ambazo hazibadilishi matokeo. Haikuwa na haja ya TRA kukaa,kuprocess na kutangaza na wakati huo huo benki kuu wanakaa, wanaprocess na wao wanatangaza.

Basi waambie wale wotewenye uwezo kama were wa kuweza kuingia JF waingie website ya BOT
 
Back
Top Bottom