Search results

  1. Mr.Duttu

    Tenda za ukusanyaji takataka

    Wakuu habari zenu. Natumai mu wazima wa afya, naomba kuuliza juu ya izi tenda za ukusanyaji wa takataka katika mitaa yetu uwa zinatolewa vip? 2. Kwa magari yakukusanyia taka kwa siku ukodishwaji wake uwa ni kiasi gani kwa mtu anayeitaji kukodi gari la taka kutwa nzima ama kwa masaa kazaaa...
  2. Mr.Duttu

    Bei ya Silver na Gold

    Habari wadau wa jukwaa la biashara, Leo nahitaji kufahamu bei ya Silver na Gold kwa maduka ya Dar na ni duka gani zuri kwaajili ya kuuza au kununua bidhaa hizo kama vile cheni, pete n.k Asante
  3. Mr.Duttu

    Budget ya harusi...

    Habari za majukumu ndugu zangu, Leo nimekuja hapa kwenu kwaajiri ya kuweza kupata ujuzi [structure]na mwenendo mzima wa harusi sana sana ikiwa ni kwenye ku set budget ya harusi kwa kadri ya wa tu 300 mpka 450, naitaji kujua naweza kuwa na budget ya kiasi gani kuweza ku kidhi harusi na sherehe...
  4. Mr.Duttu

    Connection na ajira

    Wadau leo nataka kujua mambo kazaa mawili matatu katika Ajira apa Tanzania. 1. Connection ni nini? 2. Connection zinapatikana wapi? 3. Ni nani anastahili kupewa connection na yupi hastahili connection? 4. Share na sisi moja ya connection uliyowai kuishuhudia ama uliyowai kunufaika nao kwa...
  5. Mr.Duttu

    Naomba kujua bei ya viwanja

    Wadau wa Jiji la raha na karaha naomba kujua bei za viwanja per square meter maeneo ya MAKONGO JUU, GOBA, MADALE ukanda uwo kwa ujumla nk.
  6. Mr.Duttu

    Ni utaratibu gani nifuate ili kupata kitambulisho changu cha NIDA?

    Mambo vipi ndugu zangu? Naomba kujuzwa/kujua ni jinsi gani nitaweza kupata kitambulisho cha Nida Namba ninayo lakini tangu mwezi wa pili wizara ya mambo ya ndan walisitisha huduma ya online copy kwa sababu za kiusalama. Je, nikitaka kupata kitambulisho changu nitapata kwa wakati nikienda...
  7. Mr.Duttu

    Ultimate finance experience

    Hello guys, Natumai mko na siku njema nyote na ata ambao wana ili nalile yote ndo maisha. Naitaji kupata experience kwa mtu aliyewai kufanya kazi kwenye Microfinance moja mjoni apa inayoitwa Ultimate Finance ofisi zao zipo opposite na mahakama ya rufaa posta na pengine, naitaji kujua utendaji...
  8. Mr.Duttu

    Gharama za ujenzi wa chumba kimoja

    kwa mtu mwenye experience ya gharama za ujenzi wa chumba kimoja cha size ya kati tuu naomba anipe approximation tafadhari??[emoji4][emoji4]
  9. Mr.Duttu

    Tatizo la allergy

    Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kutokwa na vipele sehemu ya kifuani mpaka shingoni hasa kipind cha mvua zinapochachamaa, nikila vyakula vya baharin pezwa au samaki wadodo wale, ama nikipitiwa na hewa ya mtu ambayo siyo safi inayotokea puani kwake au mdomon kwake basi napatwa hali kama ya...
  10. Mr.Duttu

    Tatizo la sikio

    Naomba msaada kwa yeyote anaye fahamu kifaa kinachotumika kupimia *Tympanogram* naweza nikakipata hospitali gan, gharama zake zikoje na je kama wanapokea bima nijue pia maana nilipata ajar sikio langu likachanika ila kwa sasa nimeshapona palipo chanika ila nimebakia na mwangwi pamoja na upepo...
  11. Mr.Duttu

    Natafuta shule nzuri ya sekondari yenye gharama nafuu

    Ili tuelewane vizur naomba kutumia lugha ya nyumbani. Nina mdogo wangu anaitajika kuingia kidato cha kwanza mwaka 2017 nilikuwa naitaji kufahamu bei ya shule za secondary iliyo na bordind ambayo ada yake itakuwa ni nafuu kidogo isiyozidi 1.2 mil ?? Kama unaifahamu plz nipe details za iyo shule
  12. Mr.Duttu

    Msaada anaefahamu bei ya tangawizi kwa kilo

    Hey,mambo vp wana jamii forum? Natumai mu wazima kabisa, ombi langu kwenu kwa anaefahamu bei ya tangawizi sokoni kwa kilo naomba anipe price tafadhari na kama kuna anayefahamu soko la tangawiz kwa ujumla naomba anipe data sahihi kwa ujumla maana uko mkoani kuna ekari 3 za tangawizi zilizo tayari...
  13. Mr.Duttu

    Accountancy vs Economics

    Kwamfano leo hii umepata chance ya kusomeshwa na mzamin aliyejitolea kukusomesha na akakuambia uchague kati ya uhasibu au uchumi,je ungekuwa wewe ungechagua course gani?? Na sababu ya kuchagua iyo course n ipi???
  14. Mr.Duttu

    Kuuliza si ujinga

    Jamani mimi nahitaji kujua hivi pale Sea Cliff Hotel Masaki bei ya kuingia ni shilingi ngapi pamoja na bei za vinywaji pamoja na chakula kwa ujumla, mwenye experience ya eneo lile anipe detail vizuri.
  15. Mr.Duttu

    Penzi lake la mikosi kwangu

    Jamani wana jamii naombeni ushauri wenu, Nina mpenzi wangu ambaye nimedumu nae katika mahusiano nae kimapenzi kwa muda wa zaidi ya miaka 5, pindi tunaanza mahusiano yeye ndo alinitaka mimi kimapenzi ila mimi nilikuwa na lengo moja tu la kusex na yeye kisha nimuache kwa kuwa sikumpenda kwa...
  16. Mr.Duttu

    Heslb tunaomba ufafanuzi

    MASWALI KWA HESLB Wanasema kuna waombaji wawe watulivu huku hawaelez uo utulivu uwe mioyoni mwa wanafunz kwa siku ngapi watueleze ayo majina 9,253/= yanatoka lini? na watueleze ao wanafunzi 19,884/= wenye mapungufu ni mapungufu ya aina gani ? Na kwanini wasitahalifiwe ili waende kulekebisha ayo...
Back
Top Bottom