Connection na ajira

Mr.Duttu

Member
Nov 7, 2015
82
125
Wadau leo nataka kujua mambo kazaa mawili matatu katika Ajira apa Tanzania.

1. Connection ni nini?

2. Connection zinapatikana wapi?

3. Ni nani anastahili kupewa connection na yupi hastahili connection?

4. Share na sisi moja ya connection uliyowai kuishuhudia ama uliyowai kunufaika nao kwa ujumla katika swala la ajira. Na ni kwanini watu wengi tunaoitaji ajira tunajikuta tunaamini sana katika connection kuliko kupambana binafsi?
 
moyafricatz

JF-Expert Member
Nov 27, 2015
2,694
2,000
Connection ni mtu au watu wanaokua ni wa kwanza kukujulisha nafasi ya kazi au umeona nafasi ya kazi kwenye kampuni fulani na haujui taarifa za nafasi hiyo so unatafuta mtu sio wa kukubeba lakini wa kukusaidia kupata taarifa sahihi toka.ndani ya kampuni ili uweze apply kazi husika au kama umekua shortlisted ili ufanye vizuri kwenye usahili.

Connections kwa upande wangu zinapatikana kwenye Mtandao wa LINKELDN ....ukijunga wale watu unaowaomba request hawawi followers wako kama instagram bali wanaitwa CONNECTIONS.

So huwa nashangaa sana mtu anakuja hapa jf analia lia naomba connections....mwenye connections.

Wakati LINKELDN kuna ma-HR, CEO's, MANAGERS, HOD's, Employers, experienced Emplyee wa makampuni mbali mbali hapa Tanzania...ila watu wanakomaa hapa JF ......

Na ukiwatumia ujumbe huko LINKELD wana reply........

Kule una uwezo wa kumtumia ujumbe mfupi MKUU yeyote wa kampunu, HR au staff yeyote na akakujibu.

Ila wajinga watakomaa kuomba connections sehemu ambazo sio sahihi.
 
mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
12,358

Lazima na wewe una connection nzuri, followers na unaowa follow wazuri na wa kutosha na uzoefu mkubwa huko LinkedIn

Ukikutana na connection waweza kuconnect wengine pia
 
JOESKY

JF-Expert Member
Mar 25, 2015
784
1,000
Connection ni mtu au watu wanaokua ni wa kwanza kukujulisha nafasi ya kazi au umeona nafasi ya kazi kwenye kampuni fulani na haujui taarifa za nafasi hiyo so unatafuta mtu sio wa kukubeba lakini wa kukusaidia kupata taarifa sahihi toka.ndani ya kampuni ili uweze apply kazi husika au kama umekua shortlisted ili ufanye vizuri kwenye usahili.

Connections kwa upande wangu zinapatikana kwenye Mtandao wa LINKELDN ....ukijunga wale watu unaowaomba request hawawi followers wako kama instagram bali wanaitwa CONNECTIONS.

So huwa nashangaa sana mtu anakuja hapa jf analia lia naomba connections....mwenye connections.

Wakati LINKELDN kuna ma-HR, CEO's, MANAGERS, HOD's, Employers, experienced Emplyee wa makampuni mbali mbali hapa Tanzania...ila watu wanakomaa hapa JF ......

Na ukiwatumia ujumbe huko LINKELD wana reply........

Kule una uwezo wa kumtumia ujumbe mfupi MKUU yeyote wa kampunu, HR au staff yeyote na akakujibu.

Ila wajinga watakomaa kuomba connections sehemu ambazo sio sahihi.
Connection unayoidescribe sio connection ambayo watu tunaililia awamu hii mzee mzima
 
man dunga

JF-Expert Member
Oct 13, 2013
1,063

Eti sehemu isiyo sahihi, kwa mujibu wa nani siyo sahihi? Kuna watu wamepata kazi kupitia hapa hapa JF. Ukienda huko Linkedln utawakuta watu wanatafuta kazi kwa muda mrefu tu (Open to work). Kule Linkedln connection wako pia unaweza mtumia meseji na hasijibu.

Connection inapatikana popote iwe JF, facebook, kanisani, bar, sokoni n.k kwa hiyo usiite watu wajinga kisa hawako huko linkedln. Kuitwa followers, connection, friends haina utofauti wowote, cha muhimu ni mazungumzo yenu yatakapoishia.
 
man dunga

JF-Expert Member
Oct 13, 2013
1,063
2,000
Hiyo connection uliosema mimi nimejiunga Linkedin nina miaka 5 sasa ila shida ya kupata connection iko palepale mzea. Ni rahisi sana kuona wengine ni wazembe kwa kuwa upo at the stage!!!
Eti kisa kule linkedln wanaitwa connection basi wata ku connect. Hakuna huo urahisi! Wapo Watu kule bado wanatafuta kazi kwa muda mrefu tu na washaonwa na hao connection.
 
Idimulwa

JF-Expert Member
May 27, 2011
4,286
2,000
Connection ni mtu au watu wanaokua ni wa kwanza kukujulisha nafasi ya kazi au umeona nafasi ya kazi kwenye kampuni fulani na haujui taarifa za nafasi hiyo so unatafuta mtu sio wa kukubeba lakini wa kukusaidia kupata taarifa sahihi toka.ndani ya kampuni ili uweze apply kazi husika au kama umekua shortlisted ili ufanye vizuri kwenye usahili.

Connections kwa upande wangu zinapatikana kwenye Mtandao wa LINKELDN ....ukijunga wale watu unaowaomba request hawawi followers wako kama instagram bali wanaitwa CONNECTIONS.

So huwa nashangaa sana mtu anakuja hapa jf analia lia naomba connections....mwenye connections.

Wakati LINKELDN kuna ma-HR, CEO's, MANAGERS, HOD's, Employers, experienced Emplyee wa makampuni mbali mbali hapa Tanzania...ila watu wanakomaa hapa JF ......

Na ukiwatumia ujumbe huko LINKELD wana reply........

Kule una uwezo wa kumtumia ujumbe mfupi MKUU yeyote wa kampunu, HR au staff yeyote na akakujibu.

Ila wajinga watakomaa kuomba connections sehemu ambazo sio sahihi.
Hata hapa zinapatikana mkuu
 
Idimulwa

JF-Expert Member
May 27, 2011
4,286
2,000
Eti sehemu isiyo sahihi, kwa mujibu wa nani siyo sahihi? Kuna watu wamepata kazi kupitia hapa hapa JF. Ukienda huko Linkedln utawakuta watu wanatafuta kazi kwa muda mrefu tu (Open to work). Kule Linkedln connection wako pia unaweza mtumia meseji na hasijibu.

Connection inapatikana popote iwe JF, facebook, kanisani, bar, sokoni n.k kwa hiyo usiite watu wajinga kisa hawako huko linkedln. Kuitwa followers, connection, friends haina utofauti wowote, cha muhimu ni mazungumzo yenu yatakapoishia.
Sahihi
 
Doha City

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
15,701
2,000
Connection ni mtu au watu wanaokua ni wa kwanza kukujulisha nafasi ya kazi au umeona nafasi ya kazi kwenye kampuni fulani na haujui taarifa za nafasi hiyo so unatafuta mtu sio wa kukubeba lakini wa kukusaidia kupata taarifa sahihi toka.ndani ya kampuni ili uweze apply kazi husika au kama umekua shortlisted ili ufanye vizuri kwenye usahili.

Connections kwa upande wangu zinapatikana kwenye Mtandao wa LINKELDN ....ukijunga wale watu unaowaomba request hawawi followers wako kama instagram bali wanaitwa CONNECTIONS.

So huwa nashangaa sana mtu anakuja hapa jf analia lia naomba connections....mwenye connections.

Wakati LINKELDN kuna ma-HR, CEO's, MANAGERS, HOD's, Employers, experienced Emplyee wa makampuni mbali mbali hapa Tanzania...ila watu wanakomaa hapa JF ......

Na ukiwatumia ujumbe huko LINKELD wana reply........

Kule una uwezo wa kumtumia ujumbe mfupi MKUU yeyote wa kampunu, HR au staff yeyote na akakujibu.

Ila wajinga watakomaa kuomba connections sehemu ambazo sio sahihi.
Hizo mambo nimefanya sana lakini wapi...
 
a45

JF-Expert Member
Sep 2, 2017
1,287
2,000
Kwa hapa nadhani mleta uzi anapaswa kujua Connection ina maana mbili kulingana na angle uliyokaa kuitazama

Angle ya kwanza Kama ita work on your ways utaita connection kwamba magumashi Yana kupa favour wewe

Angle ya pili
Ila hayo hayo magumashi yakifanywa na watu wengine na wewe yasikupe favour basi hapo inakuwa corruption

Kwaiyo connection inaweza kuwa favour kwa upande wako mfano kupata kazi bila kufata mlolongo husika wa kupata hiyo nafasi

Ikikufikia hiyo utasema mazee nimekata connection ya kazi

Lakini pia kwenye angle nyingine wewe unaweza ukafanya mchakato unatakiwa katika kupata nafasi Fulani ya kazi lakini hapo katikati mwingine akapiga magumashi akapata kazi ambayo wewe ulitakiwa kuipata na kwamba yake yanakuangusha wewe na yeye anachukuliwa basi hapo inakuwa corruption kwako na connection kwake

Simply ni kwamba connection na corruption kwenye maswala ya kazi ni kitu kimoja ambacho kina sura mbili kulingana na angle uliyo chagua kuitazama
 
Mr. Purpose

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
1,078
2,000
Main source of connection ni wewe mtu binafsi na siyo hao unaowafikiria.

Trust inajengwa pale mtu anapokujua na kuelewa uwezo wako kiujumla.

Kuna baadhi ya sifa ambazo zina mfanya mtu kuvutiwa na wewe na kukupa nafasi hatakama hamjuani.

Hakuna anayependa kuahibishwa, yaani akuunganishe kwenye kazi fulani halafu ukaharibu huko, lazima mtu ajiridhishe kuwa kweli wewe upo vizuri kuanzia nidhamu hadi utendaji na hii inachukua muda.

Nina uhakika humu jf wapo ma CEO wa makampuni na hata wamiliki wa biashara zao, kwanini wasifike tu jf na kuchukua watu?

1. Uaminifu
2. Nidhamu ya utendaji
3. Uwezo wako katika kazi husika.

Ukiweza kumuonyesha mtu hivyo vitu vitatu kwa njia yoyote ile amini kuna mtu anaweza punguzwa kazi ili wewe upewe nafasi.

Sasa usiulize nitawezaje kumuonyesha mtu hivyo vitu ilihali hatujuani, hiyo ni SEHEMU YAKO wewe kutumia mbinu zako mwenyewe kupata unachokitaka.

(hapo ndipo elimu yako inapoanza kutumika,)

(soft skills muhimu)
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom