Mr.Duttu
Member
- Nov 7, 2015
- 91
- 57
Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kutokwa na vipele sehemu ya kifuani mpaka shingoni hasa kipind cha mvua zinapochachamaa, nikila vyakula vya baharin pezwa au samaki wadodo wale, ama nikipitiwa na hewa ya mtu ambayo siyo safi inayotokea puani kwake au mdomon kwake basi napatwa hali kama ya pumu ule iwezo wangu wa kupumua unapungua napata shida kupumua, ivyo vipele uwa haviwashi ila kuna baadhi ya nguo nikivaa vinawasha .
Sasa ndugu zangu ivi vipele kuna mda nikitumia dawa vinaisha ila havijawai kuondoka moja kwa moja je kuna mtu ambaye alisha wai kupatwa na tatizo kama ili anisaidie nipate ufumbuzi ni dawa zip alitumia ama n hospital ipi naweza kupata tiba madhubuti maana kama kiacha kutumia ivyo vyakula nimejitaid sana