Bei ya Silver na Gold

Bei ya Silver na Gold

Mr.Duttu

Member
Joined
Nov 7, 2015
Posts
91
Reaction score
57
Habari wadau wa jukwaa la biashara,

Leo nahitaji kufahamu bei ya Silver na Gold kwa maduka ya Dar na ni duka gani zuri kwaajili ya kuuza au kununua bidhaa hizo kama vile cheni, pete n.k

Asante
 
Bei za gold & silver huwa zinapanda na kushuka, lkn bei za hivi karibuni kwa gold laki moja 80 kwa g1 na silver alfu 25 hadi 30 kwa g1.
Screenshot_20210309_154503.jpg
 
Back
Top Bottom