Mr.Duttu
Member
- Nov 7, 2015
- 91
- 57
Naomba msaada kwa yeyote anaye fahamu kifaa kinachotumika kupimia *Tympanogram* naweza nikakipata hospitali gan, gharama zake zikoje na je kama wanapokea bima nijue pia maana nilipata ajar sikio langu likachanika ila kwa sasa nimeshapona palipo chanika ila nimebakia na mwangwi pamoja na upepo nao usikia kwa ndani ya sikio especially nikikaa sehemu tulivu napata shida kelele haziishi ndani ya sikio kwayeyote mwenye kujua huduma bora ipatikanapo namuomba anijulishe ndugu zangu