Mr.Duttu
Member
- Nov 7, 2015
- 91
- 57
Habari za majukumu ndugu zangu,
Leo nimekuja hapa kwenu kwaajiri ya kuweza kupata ujuzi [structure]na mwenendo mzima wa harusi sana sana ikiwa ni kwenye ku set budget ya harusi kwa kadri ya wa tu 300 mpka 450, naitaji kujua naweza kuwa na budget ya kiasi gani kuweza ku kidhi harusi na sherehe kwa idadi ya watu hao kwa makadilio, kwamtu mwenye experience na jambo hili naona maelezo kidogo.
Asanteni.