Tenda za ukusanyaji takataka

Mr.Duttu

Member
Nov 7, 2015
91
57
Wakuu habari zenu.

Natumai mu wazima wa afya, naomba kuuliza juu ya izi tenda za ukusanyaji wa takataka katika mitaa yetu uwa zinatolewa vip?

2. Kwa magari yakukusanyia taka kwa siku ukodishwaji wake uwa ni kiasi gani kwa mtu anayeitaji kukodi gari la taka kutwa nzima ama kwa masaa kazaaa kwaajili ya kukusanya taka.
 
Ingia kwenye mfumo wa Nest, tenda hutangazwa humo,ama nenda ofisi ya afisa mazingira halmashauri uliyopo utapata muongozo
 
Back
Top Bottom