Uzuri wa uhasibu ni kuwa unaweza kufanikiwa haraka, unatakiwa tu uwe smati, ila ukiwa huna akili basi itakupa shida kidogo. Uchumi ni mzuri ni mpana na pia inawezekana mchumi kuja kuwa mhasibu (akisoma ACCA, CPA, CIMA etc), ila shida yake kufanikiwa ktk economics unahitaji experience otherwise uiunganishe na vitu kama finance ndiyo utatoka mapema, ingawa sasa kwa nchi kama yetu ambayo technolojia iko chini utahangaikaKwamfano leo hii umepata chance ya kusomeshwa na mzamin aliyejitolea kukusomesha na akakuambia uchague kati ya uhasibu au uchumi,je ungekuwa wewe ungechagua course gani?? Na sababu ya kuchagua iyo course n ipi???