Ultimate finance experience

Mr.Duttu

Member
Nov 7, 2015
91
125
Hello guys,

Natumai mko na siku njema nyote na ata ambao wana ili nalile yote ndo maisha.

Naitaji kupata experience kwa mtu aliyewai kufanya kazi kwenye Microfinance moja mjoni apa inayoitwa Ultimate Finance ofisi zao zipo opposite na mahakama ya rufaa posta na pengine, naitaji kujua utendaji wao wa kazi, policies zao na uendeshaji wao kiujumla maana tunaskia izi Microfinance uwa zina longolongo nying sana

Asante.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom