Search results

  1. KABIDO

    Msaada wa haraka kuhusu external

    Habari wakuu..... Nina external yangu yenye ukubwa wa 500GB Kampuni TRANSCEND tatizo lake napokua na nimeplay Videos Ghafla Video inaganda halafu inaendelea tatizo hili linanisumbua sana Nimefanya uchunguzi na kugundua hii External ndo ina tatatizo cos nikiplay video iliyo kwenye internal disk...
  2. KABIDO

    Pata gb60 voda na free internet software for pc

    Kwa bando la Voda GB.60 Yaani GB.10 kila MWEZI Kwa Miezi 6 applications maalum ambazo nitakupatia zenye uwezo wa ku bypass traffic za provider wako wa internet na kukuruhusu wewe mtumiaji kuingia internet bure bila ya kuwa na mb wala salio hii ni kwa wenye PC Kwa gharama nafuuuu kwa anae...
  3. KABIDO

    TIBA YA UGONJWA HUU WA MEMORY CARD PAMOJA NA FLASH......

    Habar wakuu.... kuna ugonjwa wa memory card pamoja na flash umeibuka unakuta flash ina ukubwa wa 16GB lakin inaingiza nyimbo 10 tu ukizidisha hazilii ukiiformat bado vile vile kwa anaejua tiba....msaada jaman..
  4. KABIDO

    Msaada: Tecno yang smatphone haionyeshi storage ya phone

    Msaada tecno yang smatphone haionyeshi storage ya phone hata ukiweka memory card pia huioni...msaada kwa hili
  5. KABIDO

    Msaada wa network unlock code

    Habar wakuu nina vodafone v875 inakubal lain ya voda tu nahitaj msaada wa kupata code za kuifungua msaada please....
  6. KABIDO

    Mimi ni mjasiriamali, natafuta mke

    Habari kwa wanajukwaa wa LOVE CONNECT, Nina uhitaji mkubwa sana wa mchumba. Sio mchumba tu, aje kuwa wife so msaada wakuu. Mimi ni kijana wa miaka 22, rangi ya Obama, ni mjasiriamali nimejiajiri. Natafuta girl mwenye miaka 18 mpaka 23, akizidi nitamfikiria. This is a serious inssue.
  7. KABIDO

    MSAADA GTA VICE CITY

    Habar wadau naomba msaada wa kupata pc game GTA VICE CITY Kwenye pc ya 2GB RAM Processor 2.2GHZ GRAPHIC CARD 900MB Msaada wakuu....
  8. KABIDO

    DADA ZETU HAWAVAI NGUO ZA NDANI...?!

    Nimefanya uchunguzi sana tu kwa dada zangu kupitia picha zanu za #fb na #insta, nimegundua kuwa hamvai kabisa nguo za ndani, hebu vaeni na nguo za ndani basi, yaan wote mnavaa za italy, canada, china na nchi zingine huko,, hebu vaeni na za ndani ya nchi yetu kama vile BATIKI, VITENGE na...
  9. KABIDO

    Msaada: PC nikiiwasha inajizima!

    Naombeni msaada laptop yangu imekumbwa na tatizo la ghafla, nikiiwasha inazima inajiwasha inazima inajiwasha sijajua tatizo nini naombeni msaada...
  10. KABIDO

    Looking for a girl........

    Habar wana JF Natafuta girl alie na shida kama yang i mean natafuta mchumba miaka at least awe na 18=>23.... Mimi nina umri wa miaka 22 nina kaz inayoniingizia kipato alie tayar ani PM ni hayo 2.
  11. KABIDO

    Japanese alphabet

    Andika jina lako kwa lugha ya Kijapani, Tafadhali Usiubadiri mchezo huu!!! Lets laugh a bit by writing your name in JAPANESE ALPHABET: A= ka, B= tu, C= mi, D= te, E= ku, F= lu, G= ji, H= ri, I= ki, J= zu, K= me, L= ta, M= rin, N= to, O= mo, P= no, Q= ke, R= shi, S= ari, T= chi, U= do, V=...
  12. KABIDO

    IKIBIDI.....

    Kwa jinsi nilivyosoma kwa shida... mtu akinikashifu sina vyeti... ningebandika hadi matokeo ya tuition...!!
  13. KABIDO

    DOCTA NA WALEVI

    DOKTA yupo na WALEVI anawapa ushauri wa bure kabisa Kuhusu afya zao...! DOKTA :- Jamani hamjui kwamba Pombe inaua polepole? MLEVI mmoja Akajibu :- Kwani nani kakuambia SISI tunaharaka..?
  14. KABIDO

    PASAKA IMEKARIBIA...!!

    Dem: My huby... Mimi : Yes my love... Dem: Nakupenda... Mimi: Hata mimi najua... Dem: Baby hauna nguo za kufua? Mimi: Ninazo mpenzi... Dem: Nakuja hubby ila naomba uniandalie na hela ya shopping kwa ajili ya Pasaka! Mimi : Sawa... => Nikatoka nikakusanya nguo za masela mtaa mzima, kaja kazikuta...
  15. KABIDO

    KIZUNGU NACHO MMH...

    Kizungu nacho ni sheeeeeedeeeer Mtalii: Do you have vegetables here. Mtafsiri: Mnavyo vijimeza hapa. Waiter: Vijimeza vidogo hatuna. Mtafsiri: No sir, they don't have. Mtalii: OK, fine, do you have hot dogs. Mtafsiri: Sawa, je mnao mbwa wa moto. Waiter: Loh! Bwana we, hatupiki mbwa hapa...
  16. KABIDO

    TABIA ZA MWANAUME BAHILI NA MWENYE ROHO YA KIMASIKINI..

    Hebu zisome hapa Tabia za Mwanaume BAHILI na Mwenye Roho ya kimasikini. 1. Anapenda sana kuweka Coin kwenye wallet yake, ukiiona suruali yake unajua kajaa noti kumbe vyuma, wallet ina nusu kilo za coin...!!! 2. Akitoa sadaka kama ni Kanisani, ataiviringisha noti yake inakuwa kama anatengeneza...
  17. KABIDO

    4WD×4WD

    *Nimepitia njia ya police station,, nikaona gari yao imeandikwa 4WD×4WD sasa mimi nikachukua marker pen nikajaza = 16W²D² ,, sahiii niko kwenye Landrover yao wamenilazimisha kupanda nadhani wananipeleka university of dar es salaam kufundisha hesabu*
  18. KABIDO

    Aiisii... huuu... baby hapo... hapo ............

    Nilikua napita nyuma ya nyumba moja dirishani nikasikia hvyo nikajua imooooOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
  19. KABIDO

    Huwa naenjoy kusoma yaliyo andikwa nyuma ya daladala........

    Huwa naenjoy sana kusoma yaliyoandikwa nyuma ya daladala hasa ninapokuwa kwenye foleni. Misemo maarufu ya kwenye daladala. 1.Yatima hadeki 2.Utamu wa chips mimba 3.Ukitaka kujua ugumu wa kudai kopesha ukweni 4. Usiyempenda kaja 5. Kobe hapimwi joto 6. Acha kazi uone kaz kupata kaz 7. Ukichezea...
  20. KABIDO

    WALLAHI SITAWAHI KUDANGANYA TENA

    Juzi nikitoka church nilipanda kihiace na kulikuwa na mrembo mkali hujawahi kuona,kila kijana alikuwa akimtupia macho,so me nilikuwa na wepesi wa kuongea naye kirahisi coz nilikuwa kando yake,,, Sasa kama unavyojuwa wanaume kwa kujikosha Nikaimigine mtto ananiangalia so nikaamuwa kupiga fake...
Back
Top Bottom