kuiwasha ikiwa safe mode ndio aje hivyo mkuuIwashe ikiwa safe mode kisha futa program ulizo zi install hivi karibu...
piga window mpya mkuu....kama kuiwasha in form of safe mode huwezi...kuiwasha ikiwa safe mode ndio aje hivyo mkuu
dah mkuu heshima kwako bana nimeweza kuondoa tatizo mida hii la PC yangu kujirestart pasipo kumaliza japo hujanielekeza jinsi ya kuiwasha katika form ya safe mode nikaona sio vibaya ni Google tu kwa sababu umeshatoa mwongozo kwa jamaa hapo juu.piga window mpya mkuu....kama kuiwasha in form of safe mode huwezi...
KARIBU TENA...MKUUUdah mkuu heshima kwako bana nimeweza kuondoa tatizo mida hii la PC yangu kujirestart pasipo kumaliza japo hujanielekeza jinsi ya kuiwasha katika form ya safe mode nikaona sio vibaya ni Google tu kwa sababu umeshatoa mwongozo kwa jamaa hapo juu.
ASANTE SANA MKUU.KARIBU TENA...MKUUU