TABIA ZA MWANAUME BAHILI NA MWENYE ROHO YA KIMASIKINI..

KABIDO

Member
Oct 26, 2015
74
117
Hebu zisome hapa Tabia za Mwanaume
BAHILI na Mwenye Roho ya kimasikini.
1. Anapenda sana kuweka Coin kwenye
wallet yake, ukiiona suruali yake unajua
kajaa noti kumbe vyuma, wallet ina nusu
kilo za coin...!!! 2. Akitoa sadaka kama ni Kanisani,
ataiviringisha noti yake inakuwa kama
anatengeneza jiwe la Kombeo, halafu
ndio anatoa kwenye chombo cha sadaka.
3. Akinunua kitu pesa anaichambulia
mfukoni, hatoi zote...!!! 4. Badala ya kuweka noti wima kwenye
wallet, yeye anaikunja mala mbili au zaidi
na kuipachika kama vile anaificha
kwenye wallet yake mwenyewe.
5. Wallet yake ukiifungua inavijikaratasi
vidogovidogo vingii kama mganga, tena wengine kunakuwa na michanga...!! [HASHTAG]#TabiaZingingineOngeza[/HASHTAG]...!!!
 
Ndio maana sipendelei kuwa na wallet. Tangu nizaliwe nimewahi nunua Mara moja tu, tena nilikuwa nawekea pesa ambazo nilikuwa nawapinga mizinga wazazi enzi hizooo!
Na najua tafsiri yake ingekuwa mbaya zaidi, mtu kakunja karatasi Mara mbili Mara kaweka vijiti eti eti inapendeza ikiwa imetuna hata mfukoni inakalika!!!. Mtoa mada unamaanisha nini kwa maelezo yako? Maana pasaka imekaribia....tutasikia mengi sana
 
Back
Top Bottom