Habar wakuu....
kuna ugonjwa wa memory card pamoja na flash umeibuka unakuta flash ina ukubwa wa 16GB lakin inaingiza nyimbo 10 tu ukizidisha hazilii ukiiformat bado vile vile kwa anaejua tiba....msaada jaman..
ushawahi kuona trick mtu anakwambia badili memory card ya 2GB iwe ya 4GB? lakini kiuhalisia hazibadiliki. hio ndio njia wanayoitumia mtu anatafuta memory card ya 128MB kwa bei rahisi kisha anatumia software fulani na kubadilisha tu jina na kuwa 8GB, wewe ukieka kwenye simu au pc itasoma 8GB lakini uwezo unakuwa ule ule wa 128MB.
Tiba ni kutest kabla hujaondoka dukani/kwa muuzaji, eka mafile makubwa uhakikishe kama yanaingia yote kama GB zilivyoandikwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.