DOCTA NA WALEVI

KABIDO

Member
Oct 26, 2015
74
117
DOKTA yupo na WALEVI anawapa
ushauri wa bure kabisa Kuhusu afya
zao...!
DOKTA :- Jamani hamjui kwamba
Pombe inaua polepole?
MLEVI mmoja Akajibu :- Kwani nani kakuambia SISI tunaharaka..?
 
Back
Top Bottom