KABIDO
Member
- Oct 26, 2015
- 74
- 117
Nimefanya uchunguzi sana tu kwa
dada zangu kupitia picha zanu za #fb na [HASHTAG]#insta[/HASHTAG], nimegundua kuwa hamvai kabisa nguo za ndani, hebu vaeni na
nguo za ndani basi,
yaan wote mnavaa za italy, canada,
china na nchi zingine huko,, hebu
vaeni na za ndani ya nchi yetu kama
vile BATIKI, VITENGE na zinginezo ilikukuza uchumi wa taifa letu,,!! #usiludie_kosa