KABIDO
Member
- Oct 26, 2015
- 74
- 117
Juzi nikitoka church nilipanda kihiace na
kulikuwa na mrembo mkali hujawahi
kuona,kila kijana alikuwa akimtupia
macho,so me nilikuwa na wepesi wa
kuongea naye kirahisi coz nilikuwa kando
yake,,, Sasa kama unavyojuwa wanaume kwa kujikosha Nikaimigine mtto
ananiangalia so nikaamuwa kupiga fake
phone
"Hello Mr. Supervisor,nitachalewa kidogo
coz kuna mahali nitapitia, so nipelekee tu
hyo Ferrari yangu nyumbani" Nikaona mrembo ameniangalia kwa
macho ya husda apo nkajua nimeuwa
ndege kwa jiwe moja, nkaamua
kujikosha mtt wa kiume , "niaje mrembo",
akanikazia macho kisha akaniambia,
"Shika battery yako uliangusha ukitoa simu" Icho kicheko watu walicheka hujawahi
ona jooo adi ikabidi dereva aegeshe gari watu wacheke kwanza Nikaona isiwe tabu nikashukia pale pale Tujifunze kusema ukweli kwani uongo sio mzuri hata kwa Mungu...