Mimi ni mjasiriamali, natafuta mke

KABIDO

Member
Oct 26, 2015
74
117
Habari kwa wanajukwaa wa LOVE CONNECT,

Nina uhitaji mkubwa sana wa mchumba. Sio mchumba tu, aje kuwa wife so msaada wakuu.

Mimi ni kijana wa miaka 22, rangi ya Obama, ni mjasiriamali nimejiajiri. Natafuta girl mwenye miaka 18 mpaka 23, akizidi nitamfikiria.

This is a serious inssue.
 
Tatizo kubwa humu wanaotaka wame hua wanataka miaka kuanzia 28 na kuendelea. Nahisi ndiyo maana una nyuzi nyingi za kutaka mwenza na hazijajibiwa.

Ningekua wewe ningechagua mmoja kutoka sehemu nilipo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom