KABIDO
Member
- Oct 26, 2015
- 74
- 117
Kizungu nacho ni sheeeeeedeeeer
Mtalii: Do you have vegetables here.
Mtafsiri: Mnavyo vijimeza hapa.
Waiter: Vijimeza vidogo hatuna.
Mtafsiri: No sir, they don't have.
Mtalii: OK, fine, do you have hot dogs. Mtafsiri: Sawa, je mnao mbwa wa moto.
Waiter: Loh! Bwana we, hatupiki mbwa
hapa.
Mtafsiri: They don't cook here
Mtalii: What type of snacks do you have
here. Mtafsiri: Aina ngapi ya nyoka mnao hapa,
Waiter: We bwana we hapa hatupiki aina
yeyote ya nyoka, mwache akale
nyumbani kwao.
Mtafsiri: They don't cook any type of
snacks here, maybe you can go back and eat at home.
Mtalii: OK, at least give us a cocktail
juice.
Mtafsiri: OK, tupatie hata juisi ya mkia wa
jogoo.
Waiter: Hebu tokeni na bangi zenu hapa, tena sasa hivi kabla sijakasirika.
Mtafsiri: Lets get out of here [HASHTAG]#NimempendaMkalimani[/HASHTAG]