4WD×4WD

KABIDO

Member
Oct 26, 2015
74
117
*Nimepitia njia ya police station,,
nikaona gari yao imeandikwa
4WD×4WD sasa mimi nikachukua marker pen nikajaza = 16W²D² ,, sahiii niko kwenye Landrover yao wamenilazimisha kupanda nadhani
wananipeleka university of dar es
salaam kufundisha hesabu*
 
Back
Top Bottom