Msaada wa network unlock code

KABIDO

Member
Oct 26, 2015
74
117
Habar wakuu nina vodafone v875 inakubal lain ya voda tu nahitaj msaada wa kupata code za kuifungua msaada please....
 
WEKA IMEI NUMBER ZAKE NA PROVIDER CODE HUWA ZINAANZA NA 2AVDTZ1 AMA VINGINEVYO. NITAKUPA UNLOCK CODE
 
mkuu wanatamani mm nina Wi-Fi ya ZTE model R206-z EMEI:357549053336686 naomba provider code maana inatumia sim card za voda tu, natanguliza shukrani zangu
 
Bado unayo? Unaweza kutuma screenshot ya sehemu inayotaka kuweka NCK?
 
Back
Top Bottom