Search results

  1. JUST

    Mameya wa jiji la Dar es Salaam

    Ndugu wana JF, uchaguzi wa madiwani na wabunge umeshamalizika Dar es Salaam. Je, kuna uwezekano wa mameya kutoka upinzani kwa mara ya Kwanza? Maana kwa Segerea madiwani wote ni Ukawa, sijajua mgawanyiko kwa majimbo mengine.
  2. JUST

    Wajuvi wa siasa: Matukio ya hivi karibuni yana maana gani katika utawala?

    Ndugu Wana JF, Kwa mwezi huu kuna matukio yafuatayo ambayo kwa kuyaangalia yanaibua mjadala ambao nakaribisha wadau kupambanua. Matukio hao ni:- 1) Daftari la kudumu la wapiga kura,Matokeo ya Kidato cha Nne na Mahakama ya Kadhi...
  3. JUST

    Ombi kwa wabunge wanaosimama kwenye haki

    Ndugu WanaJF, kwa yeyote anayeweza kuwasiliana na mbunge atakayechangia jioni ambaye anasimama upande wa haki naomba amtaarifu aweze kudokezea mambo yafuatayo pale itakapowezekena: 1. ni jinsi gani hizi capacity charges zinavyochangia kuongezeka kwa gharama za unit za umeme zinazolipwa na...
  4. JUST

    Barua ya Wazi kwa Mh. Rais Kikwete pamoja na Usalama wa Taifa

    Salaam Mh. Raisi, Mimi kama raia wa nchi yako, ni wajibu wangu kuhakikisha kuwa nchi yangu inabaki salama kwa kutunza amani ya pale ninapoishi na kuhakikisha kuwa siwi kisababishi cha uvunjifu wa amani katika enoe ninaloishi na katika maeneo yoyote yale nitakayoyafika. kwa ufupi kabisa Mh...
  5. JUST

    Gazet la Mwananchi: 'Pinda azima uasi'

    Ndugu Wana JF, Ni matumaini yangu nyote mu wazima wa afya. Kichwa cha Habari hapo juu ni maandishi makubwa meusi yaliyoandikwa kwenye kurasa ya mbele ya gazeti la mwananchi la leo tarehe 30/01/2013. Jambo la kushangaza katika andiko hilo, ni matumizi ya neno UASI. Kwa sababu hiyo ningependa...
  6. JUST

    2013 CCM itakuwa na mgawanyiko

    Ndugu Wana JF, Kwa hali ya upepo wa kisiasa unavyokwenda ndani ya CCM kuanzia Januari Mwaka huu wa 2013 ni wazi kuwa CCM sasa inaelekea kuanza kwa makundi mbali mbali yatakayofanya chama sikivu kirudi tena Dodoma na Kuvunja makundi kama wataweza kutokana na matamko yafuatayo. GESI YA MTWARA NA...
  7. JUST

    Nape takwimu za wanachama wa CCM ni feki na zimechakachuliwa

    Ndugu Nape, Umekuwa ukimsakama Dr. aliyesomea kuhusu swala la kumiliki kadi ya CCM lakini umesahau kuwa kwa sasa wananchi wengi wasiokuwa na vyeo wala mali na ambao ni tegemeo lenu wakati wa kura wanazo kadi za ccm lakini hawawaungi mkono. Kwa msingi huo basi zile takwimu zenu za wanachama...
  8. JUST

    CCM lazima ife ili Watanzania waendelee

    ndugu wanaJF, kama kweli tunaipenda nchi yetu tajiri yenye asali na maziwa basi ni busura kukubaliana kwa pamoja kuwa ili ustawi wa wananchi uweze kumea vizuri ni lazima CCM ife kwa sababu zifuatazo: 1. imekuwa na tabia ya kuingia kwenye mikataba ya kunyonya nchi na wananchi wake. 2. imekuwa...
  9. JUST

    Barua ya wazi kwa mkurugenzi wa usalama wa taifa

    Mkurugenzi mkuu usalama wa taifa, Utangulizi: Mimi kama mwananchi wa nchi yangu ya Tanzania ninayo dhamana na wajibu wa kuilinda nchi yangu na kuishauri kwa nafasi nitakayopata, kwa kuwa sina pa kusemea nashukuru JF inaweza kuwa ndio uwanja wangu wa kufikisha ujumbe. ndugu mkurugenzi kwa...
  10. JUST

    Takwimu zinaonyesha ccm ni chama zaifu sana

    Ni wazi kuwa kauli ya kuwa CCM ni chama kilichokomaa zimekuwa zikitolewa kila uchao na makada wake. Baadhi ya watu walio wengi wamekuwa wakiubeba usemi huo kama ulivyo na bila ya kuufanyia utafiti na kuusimamia kuwa ni kweli. Ni ukweli kuwa nguvu ya chama cha siasa hupimwa zaidi nyakati za...
  11. JUST

    Serikali, wanasiasa na jeshi la polisi wanapotosha juu ya swala lilo mahakamani

    KWA MUJIBU WA PENAL CODE CAP 16 KIFUNGU KIFUATACHO NDICHO KINACHOTUMIWA VIBAJA. NINAOMBA WAKUELEWA HII LUGHA WASOME NA IKIWEZEKANA TAFASIRI YAKE ILI UKWELI UJIDHIHIRI. " 114.—(1) Any person who—...
  12. JUST

    Tiba pekee ya kuiwajibisha serikali ni migomo tu

    WANA JF, Soote tumeona na kwa namna gani sehemu kubwa ya bunge tulilolitegemea lingesimama kidete kuhakikisha bajeti inamsaidia mtanzania walivyojisahau na kuwa visiwi na vipofu wa matatizo yanayowakabili wananchi. kwa namna hiyo basi ni wazi kuwa matatizo ya mtanzania hayatakaa yatatuliwe na...
  13. JUST

    Ushauri wa bure kwa watoto wa viongozi wa nchi yetu ya Tanzania

    Ni vyema nyinyi watoto wa viongozi mfahamu kuwa sio kila binadamu anaweza kuwa kiongozi. uongozi ni tunu kutoka kwa mwenyezi mungu wengine hupata karama tufauti amabazo zikitumika vizuri jamii itafaidika. hivi niwaulize nyinyi watoto wa viongozi hamna taaluma au mambo mengine ya kufanya zaidi ya...
  14. JUST

    Bungeni: Mkulo aangukia pua, hoja yake yakataliwa!

    Waziri wa fedha ameliomba bunge lipitishe azimio le kuweka amri ili kudhibiti matumizi ya posho, manunuzi na safari za nje ya nchi na ndani. My Take Huku ni kula matapishi ya wanaccm wenzake ambao walipitisha kwa mbwembwe kwenye bunge la bajeti na kuwaona wabunge wazalendo waliokataa kama...
  15. JUST

    Njia rahisi na salama ya kuondoa ufisadi mfumo

    Habari mwana jf hii mada ni mahususi kwa vijana wote wa kitanzania wenye uzalendo na nchi hii yenye neema kuliko nchi zote duniani. Utangulizi: Kwa siku za hivi karibuni tumekuwa tukisikia ama kuona watu wakipambana na kinachoitwa ufisadi ila katika mrengo kuibwa kwa fedha za umma. Mimi...
  16. JUST

    Vyakula vyote ni vitamu

    Kuna usemi uliozoeleka ya kwamba chakula fulani ni kitamu au vyakula fulani ni vitamu. Binafsi nakataa kwa sababu chakula chochote ili kiwe kitamu kinahitaji mapishi mazuri. Ndio maana ukienda kwenye hoteli au mgahawa kujipatia chakula chohote ambacho nasfi yako imekipenda alafu ukakuta mpishi...
  17. JUST

    Mwenye kumeza ameze na wakutema ateme

    Ni jambo la kufurahisha unapoona kiongozi wa serikali akitamka wazi wazi nia yake ya vita dhidi ya madawa ya kulevya. Ni hivi karibuni tumekuwa tukisoma kwenye magazeti kauli ya viongozi kwamba wanaojihusisha na madawa ya kulevya wengi ni viongozi wakuu wa makanisa, lakini swali linakuja je ni...
  18. JUST

    Kubali au kataa kwa hili wengi wa wabunge wa ccm ni wanafiki

    Ndugu wana jf ni faraja kwa wabunge kwa pamoja bila kujali chama wakionekana kusimama kwa pamoja kwenye mambo ya msingi ya nchi lakini kwa hili la nishati na madini ni ukweli usiopingika kwamba wabunge wamesimamia swala la umeme kidete kwa sababu kukosekana kwa umeme kumewaathiri wao pia...
  19. JUST

    Watetezi wa Lowasa: Ni kweli ni jasiri, mchapakazi lakini je umepima uzito wa upande wa pili

    Kumekuwa na watu mbali mbali hap JF wakimueleze Mh. Lowasa kuwa ni Jasiri, Mchapakazi na Mwenye upeo kufananisha na waliopo sasa. mimi nasema mtazamo huo unatokana na mfumo wa CCM uliopo ambao hauwapi watu wengine kuonyesha uwezo na ufanisi wao bali unawaacha walewale kutokea uhuru pamaoja na...
  20. JUST

    Mjadala wa posho na kodi bado wawaka Bungeni; Lissu awawashia moto CCM

    Leo Mh. Mbowe ameonyesha njia kwa kuwachapa viongozi wetu bakora kumi alizozituo wakati wa kuchangia mjadala wa bajeti ya fedha na uchumi ya mwaka 2011/2012. bakora hizo alizito kwa nyakati tofauti akiwa anachangia hoja hiyo. 1. waache kusafiria ndege business/first class at USD 5000 badala...
Back
Top Bottom