Mwenye kumeza ameze na wakutema ateme

JUST

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
552
234
Ni jambo la kufurahisha unapoona kiongozi wa serikali akitamka wazi wazi nia yake ya vita dhidi ya madawa ya kulevya.

Ni hivi karibuni tumekuwa tukisoma kwenye magazeti kauli ya viongozi kwamba wanaojihusisha na madawa ya kulevya wengi ni viongozi wakuu wa makanisa, lakini swali linakuja je ni kwanini wanaotajwa kama watuhumiwa waliokamatwa asilimia 90 hawatoki makanisani bali dini tofauti kabisa?

Ni mtazamo wangu kuwa viongozi wa nchi walishauriwa vibaya juu ya hili swala kwani sasa wachambuzi wa mambo tunajiuliza ni akina nani wanaofichwa kupitia mgongo wa dini? Isia ni kuwa bado kuna vificho vingi juu ya hili swala

nawakilisha
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom