Wajuvi wa siasa: Matukio ya hivi karibuni yana maana gani katika utawala?

JUST

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
552
234
Ndugu Wana JF,

Kwa mwezi huu kuna matukio yafuatayo ambayo kwa kuyaangalia yanaibua mjadala ambao nakaribisha wadau kupambanua.

Matukio hao ni:-

1) Daftari la kudumu la wapiga kura,Matokeo ya Kidato cha Nne na Mahakama ya Kadhi

Vs.
2) Majambazi/Ugaidi Amboni, Kutekwa Kwa Albino na Muuza Mishikaki ya paka

Kutokana na matukio ya namba moja yalifuata matukio ya namba mbili kwa kasi kubwa. Kwa mtazamo wangu nadhani ni mbinu ya kiutawala ya kupunguza mijadala ambayo ingeibuka maana kwa hali ya mambo ya namba moja hao ju ilikuwa ni lazima kuibuka na labda watawala wangekosa majibu sahihi
 
Back
Top Bottom