Search results

  1. Amavubi

    Naanza Kumuelewa na KUMKUBALI MAKONDA

    Makonda kwa sasa anafanya kazi za Taasisi nyingi Anasaidia Majukumu ya Wabunge Anasaidia Majukumu ya Mahakama Anasaidia Majukumu ya TAKUKURU Anasaidia Majukumu ya Polisi Anasaidia majukumu MENGI MENGINEYO ANAFICHUA MENGI YALIYOLALA
  2. Amavubi

    Nyimbo zimeenda wapi kwenye mabasi ya kukodishwa(Special Car Hire)?

    Wasalaam Kabla magari ya KUKODISHA maarufu kama Costa hayajarasimishwa nilikuwa nashuhudia ABIRIA WENGI WAKIIMBA NYIMBO ZA MAOMBOLEZO Naukiza swali, zile nyimbo zimepitwa na wakati? Maana siku hizi ni KIMYA KIMYA
  3. Amavubi

    Hoteli za Morena na Huduma Mbovu

    Tuna kawaida mtu akiandika kitu cha kugusa mahala fulani utasikia umetumwa Mimi naandika haya ambayo nimetendewa na nimeona hii ni fursa ya kuwasilisha dukuduku langu Huenda nisifunguke sana lakini ITOSHE KUSEMA MORENA HOTELS hasa Morogoro MJIREKEBISHE SANA. Huduma zenu ni mbovu sana na za...
  4. Amavubi

    Tuliokutana na Mtanziko kwa kutumia Uber Tukuje humu

    Pamoja na uzuri wa huduma hii kwa walio wengi lakini kuna utata mwingi hujitokeza ambao hauna majibu Kwanza kabisa ni jinsi ya kuwasiliana na huduma kwa wateja. yaani mpaka uandike meseji hakuna kupiga hata kama una tatuzo la dharura na mbaya zaidi majibu yake huchukua muda sana Lakini...
  5. Amavubi

    Uturuki: Kutana na familia ambayo watu wake hutembea kwa miguu na mikono kwa pamoja

    Hii ni Familia inayopatikana nchini Uturuki ambayo hutembea kwa kutumia miguu na mikono kwa pamoja tofauti na Watu wengine, Wanasayansi wanadai Familia hii inasumbuliwa na tatizo linalowafanya wakose balansi wakitembea kwa miguu peke yake hivyo kuwalazimu kutumia na mikono. Inaelezwa kuwa...
  6. Amavubi

    Undhani alipiga akiwa nchi gani

  7. Amavubi

    Binti Amtaka Salah Afunge Akafanye Home work

    Mshambulizi Hatari wa Mafarao wa Misri na Wekundu wa England Mohamed Salah amelazimika kumuomba radhi kupitia Ukurasa wake wa Twitter Binti mdogo aliyejiri Uwanjani na Bango lililomtaka awahi kufunga ili binti huyo naye awahi kufanya home work nyumbani Hata hivyo matakwa ya Binti huyu ilibidi...
  8. Amavubi

    Hawa Mbu ni Balaa

  9. Amavubi

    Maajabu ya Vituo vya Mwendo Kasi

    Huwa najiuliza sana hivi vituo kufungwa mlango mmoja Kwa nini walijenga miwili? hawaoni kero kubwa ya kuzunguuka kwa abiria/wateja wao Je hakuna waaolipwa 'hewa' kwa huu mlango wa pili Hii kero ya foleni si ya kujitakia? Ongeza
  10. Amavubi

    Matajiri Kumi Wa-Tanzania

    Forbes Releases Top 10 Richest Men in Tanzania for October, 2018 - Page 10 of 10 Mohammed Dewji is one of the youngest richest people in the continent of Africa at just 40 years of age. He owns a magnificent 75% stake in the METL Group which is one of the largest industrial conglomerates in...
  11. Amavubi

    Kijana Mwenye Ulemavu Ahitimu JKT

    DC Jokate Mwegelo (Kisarawe) akikagua gwaride la Vijana walio hitimu Mafunzo ya JKT akiwemo Kijana Mwenye Mlemavu
  12. Amavubi

    Nani Huyu

  13. Amavubi

    Polisi Mwembamba Zaidi Kuwahi Kutokea

  14. Amavubi

    Daraja la Kisasa Kabisa

  15. Amavubi

    Upangaji na Utendaji

    Utendaji
  16. Amavubi

    SIMBA NA VIUNGO

  17. Amavubi

    Ayakoga na Kujipambanua

  18. Amavubi

    Kwa Nini Aghalabu Wanaume Huvua Mashati Wakitaka Kudundana?

    Leo Tusafiri katika dunia ya kijamii kuangazia suala hili Katika soma yangu ya lesoni fulani, nikaona mahali wanaume wakivua makoti yao ili kumdunda nabii (Stefano) aliyedhihaki dini yao na wakampa Kiongozi wa Uchochezi (Sauli) Nikazama zaidi na mada hii na kukuta kumbe watu walishazama pia...
  19. Amavubi

    Mjue Mkata Umeme Halisi-N'Golo Kante

    Mjue N'Golo Kante a.k.a Mkata umeme Jina kamili; N'Golo Kante Siku ya kuzaliwa; 29-March-1991 Miaka; 27 Mahali alipozaliwa; Paris, Ufaransa Urefu; Meta 1.69 (Futi 5 na inchi 6½) Nafasi; Kiungo mkabaji Timu ya klabu; Chelsea Jezi namba; 7 Timu ya taifa; Ufaransa N'Golo Kante ambaye pia ana...
Back
Top Bottom