nashangaa kwa nnView attachment 907894Huwa najiuliza sana hivi vituo kufungwa mlango mmoja
Ongeza
- Kwa nini walijenga miwili?
- hawaoni kero kubwa ya kuzunguuka kwa abiria/wateja wao
- Je hakuna waaolipwa 'hewa' kwa huu mlango wa pili
- Hii kero ya foleni si ya kujitakia?
Ndio vilivyodizainiwa. Upande mmoja uwe umefungwa.View attachment 907894Huwa najiuliza sana hivi vituo kufungwa mlango mmoja
Ongeza
- Kwa nini walijenga miwili?
- hawaoni kero kubwa ya kuzunguuka kwa abiria/wateja wao
- Je hakuna waaolipwa 'hewa' kwa huu mlango wa pili
- Hii kero ya foleni si ya kujitakia?