Search results

  1. Sabayi

    Top 5 Frontier Markets in Africa - TZ one of them!!!!

    Top 5 Frontier Markets in Africa: Investment Opportunities Increase in Emerging African Economies Strong economic growth, young populations, a swelling middle class and untapped consumer spending potential are making Sub-Saharan Africa a key investment opportunity. Euromonitor has identified...
  2. Sabayi

    Msaada wa Specifications za Roofing Tiles

    Habari wakuu Nataka kuagiza roofing tiles china kwa ajili ya roofing nimepata supplier ila ameniambia nimpe specifications zote ili aweze kuniuzia roofing tiles kutokana na quality ninayotaka sasa mimi sina ujuzi wa hii mambo anayejua specifications za roofing tiles nzuri ambazo hazipauki na ni...
  3. Sabayi

    Hivi Utumbo ni Red Meat?

    Wakuu naomba kujua kama utumbo nao ni red meat.Nimeamua kuacha kula nyama nyekundu kwa muda sasa ila nikikuta utumbo umepikwa kwenye ndizi aaaah huwa nashindwa kujizuia naomba kuelimishwa tafadhali
  4. Sabayi

    Bandari ya ya Mombasa yakutana na Wafanyabiashara wa Rwanda na Burundi

    Kumekuwa na Taarifa kuwa wafanyabiashara wa Rwanda na Burundi wamehamia bandari ya Dar-es-salaam toka bandari ya Mombasa kutokana na kutoridhishwa na huduma wanazopewa na pia hofu ya mapigano wakati wa uchaguzi baada ya taarifa hizi mamlaka za bandari ya Mombasa wiki hii wamefanya kikao na...
  5. Sabayi

    Masikini watanzania ujinga huu hadi lini? Ekari 2300 kwa viroba 12o vya unga wa mahindi?

    http://www.mwananchi.co.tz/Makala/-/1597292/1620748/-/99e82c/-/index.html Soma hiyo link hapo wanakijiji wa Chumbi C huko rufiji wamegawa ardhi ekari 2300 kwa viroba 120 vya Unga wa mahindi Hivi hii nchi ina serikali kweli? hata kama wanakijiji wana haki ya kugawa ardhi yao serikali inapaswa...
  6. Sabayi

    Maofisa wa JWTZ kuhusishwa na fedha za Uswisi ni pigo kubwa sana kwa nchi

    Taarifa ya kuwepo maafisa watatu wastaafu wa JWTZ katika orodha ya vigogo walioficha fedha uswisi ni pigo kubwa sana kwa nchi kwani hii taasisi ni moja ya taasisi ambazo Watanzania tulikuwa na imani nayo bado lakini pia linaweza kuwa pigo kwa nchi kwani inawezekana kabisa hali ya jeshi letu...
  7. Sabayi

    Kiongozi wa mbio za mwenge ana nafasi gani kikatiba?

    Nimekuwa nikiona kiongozi wa mbio za mwenge akitoa amri na maagizo mbali mbali kwa baadhi ya viongozi katika maeneo anayokimbiza Mwenge,Naomba kuelimishwa huyu kiongozi wa Mbio za Mwenge ana nafasi gani katika katiba yetu? Je wanaopewa hizo amri na maagizo wakikataa kutii wanaweza kuwajibishwa?
  8. Sabayi

    Ccm yaanza kujenga daraja la mbutu wilayani igunga - ni nini tafsiri yake

    Awali ya Yote naipongeza Serikali kwa kuanza Kujenga hilo daraja la Mbutu ambalo ni kiunganisho muhimu sana cha mawasiliano kwa wakazi wa wilayani Igunga mwisho wa siku wananchi sio kwamba tunataka ccm,CDM,tlp au cuf bali ni maendeleo na uwajibikaji.Lakini ni kwanini limeanza kujengwa muda huu...
  9. Sabayi

    Membe: Malawi haiwezi kuishtaki Tanzania ICJ, Tanzania haiitambui ICJ

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb) amewambia waandishi wa habari kuwa Malawi haiwezi kuipeleka Tanzania katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) ili iamue mgogoro wa mpaka kwenye Ziwa Nyasa unaozozaniwa baina ya nchi hizi mbili. Mhe. Membe...
  10. Sabayi

    The future of Africa!!!!!!! Where is TZ?

    Top 10 African fastest growing cities - YouTube Miji ifuatayo ndiyo inayokuwa kwa kasi zaidi barani Africa na inadhaniwa kuwa hadi kufikia 2020 inaweza kuwa katika orodha ya majiji tajiri duniani,Congo Kenya wametoa miji miwili,Congo miji Miwili na Angola Mitatu,Tanzania bado tumelala usingizi...
  11. Sabayi

    Tanzania kuongoza kikosi cha Jeshi la Kimataifa DRC

    Tanzania imepewa jukumu la kusimamia na kuongoza kikosi cha jeshi la kimataifa la nchi za maziwa makuu lisiloegemea upande wowote litakalokuwa Mpakani mwa DRC na Rwanda.Hii ina tafsiri gani kwa jeshi letu na nchi yetu? Je ila Sifa ya JWTZ iliyojengwa na Mwalimu kipindi kile bado ipo hadi leo au...
  12. Sabayi

    Muhtasari wa kilimo cha baadhi ya mazao jamii ya kunde

    Habari Wakuu Nilipitia maonesho ya nane nane mwaka huu na moja ya kilimo kilichonivutia ni kilimo cha Dengu na Conflower/Brocolli. Mazao haya yana soko kubwa sana nje ya nchi hasa India kwa Dengu na ulaya/India kwa Conflower. Kwa wale wazee wa kanda ya kati kuanzia Dodoma, Singida, Tabora hadi...
  13. Sabayi

    Mkataba wa Ulinzi wa Africa Mashariki vs Malawi

    Wadau naomba kuuliza kuhusu mkataba wa ushirikiano wa Kiulinzi wa A.Mashariki ambao Tanzania iligoma kuusaini.Mkataba huo ulikuwa unazitaka nchi zote za Afrika Mashariki kuingia vitani ikiwa nchi moja wapo itavamiwa au kuingia Vitani hadi mara ya mwisho kwa kumbukumbu zangu TZ tuligoma ku usaini...
  14. Sabayi

    Natafuta nafasi ya kazi ya kufundisha Mbeya

    Kwa yeyote anayeweza kunisaidia kupata nafasi ya kufundisha masomo ya biashara kwenye shule yeyote ile Mbeya Mjini nitashukuru sana,Elimu yangu ni shahada ya uongozi na biashara toka UDSM.Ahsanteni
  15. Sabayi

    Msaada Tutani : Real Motors wanaaminika?

    Wakuu naomba kujua kama Real motors (Nimewakuta kwenye Trade car view) wanaaminika,kuna gari nataka kulipia kwao.Ntashukuru kwa msaada/Maoni
  16. Sabayi

    Soko La Karanga

    Habari Wakuu,nategemea kufanya kilimo cha karanga ila kabla sijaanza ningependa kupata uhakika wa soko kwanza,kama kuna mtu yeyote anayelima karanga na anajua ABC zake na soko naomba data tafadhali
  17. Sabayi

    Natafuta mtaalamu wa kuchimba kisima cha Umwagiliaji

    Habari wakuu,naomba mwongozo wenu ni wapi naweza kupata kampuni au mtu anayeweza kunichimbia visima kwa ajili ya umwagiliaji shambani,mahali ni Dodoma na kwa vile shamba hakuna umeme ningefurahi kutumia teknolojia ya jua au upepo kuendeshea pampu.Kama una uelewa wowote tafadhali...
Back
Top Bottom