Soko La Karanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Soko La Karanga

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Sabayi, Jul 4, 2011.

 1. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Habari Wakuu,nategemea kufanya kilimo cha karanga ila kabla sijaanza ningependa kupata uhakika wa soko kwanza,kama kuna mtu yeyote anayelima karanga na anajua ABC zake na soko naomba data tafadhali
   
Loading...