Natafuta mtaalamu wa kuchimba kisima cha Umwagiliaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mtaalamu wa kuchimba kisima cha Umwagiliaji

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Sabayi, Jul 2, 2011.

 1. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Habari wakuu,naomba mwongozo wenu ni wapi naweza kupata kampuni au mtu anayeweza kunichimbia visima kwa ajili ya umwagiliaji shambani,mahali ni Dodoma na kwa vile shamba hakuna umeme ningefurahi kutumia teknolojia ya jua au upepo kuendeshea pampu.Kama una uelewa wowote tafadhali nisaidie.Natanguliza shukrani
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  very interesting, hivi ndivyo vitu tunavyotakiwa watanzania kuwa tunawaza katika karne hii

  na mimi nasubiri wataalam waje
   
 3. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mkuu nimefurahia sana hili wazo lako, naamini utapata michango mizuri yenye kukupa mwanga jinsi gani ya kufanya pamoja na gharama zake.
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,008
  Trophy Points: 280
  Ungekuwa DSM ningekupa namba ya mchimbaji wa gharama nafuu.
   
 5. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Mimi nipo Dar shamba ndo lipo Dodoma if he can help just give me au itakuwa gharama kubwa sana yeye kwenda Dodoma?
   
 6. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Shida wataalam wapo busy na Politics Mjengoni wakipigania Posho zao
   
 7. Kishaju

  Kishaju Senior Member

  #7
  Jul 3, 2011
  Joined: Feb 23, 2008
  Messages: 106
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  [

  Hiyo ni initiative nzuri sana. Jamani na sisii tunaomba contact za hao wanaochimba visima. Naomba kuulizia kitu kingine kuna njia nyingine inaitwa drip irrigation ambapo waweza tumia hata maji ya mvua. Nimeona kuna baadhi wanatumia hii njia ila sijaifuatiliza kwa ukaribu zaidi.
  kwa youtube unaweza ona mengi zaidi

  YouTube - ‪A few drops for more crops‬‏

  Na link nyingine hiyo hpo

  YouTube - ‪Drip Irrigation Improves Africa Food Production‬‏


  Naona kenya wanajitahidi sana kupromote irrigation schemes...ona link hizo

  YouTube - ‪Bura scheme up and running‬‏

  JAMANI TUJUZE ZAIDI JUU YA UCHIMBAJI WA HIVYO VISIMA
   
 8. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #8
  Jul 3, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,800
  Likes Received: 2,571
  Trophy Points: 280
  Visima vilochimbwa kwa mkono(hand dug wells)ndivyo vya bei nafuu ukilinganisha na drilled wells. Kina cha maji(water table) ikiwa jirani basi kuchimba hand dug well ni economical kuliko machine drilled well.Wakazi wa Dodoma wanaweza kutupa data zaidi kuhusu kina cha maji mkoani.
   
 9. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #9
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mkuu inategemea how far the water table is, sababu kama ipo mbali huenda cost yake ikawa kubwa kiasi kwamba it is easier kuvuta maji from nearby water source..., lakini nadhani cheaper way ni water harvesting ambapo unaweza ukachimba na kutengeneza underground water tanks (mfano wa septic tanks au mabwawa ambayo mvua ikinyesha yanajaa; (I think that is cheaper)

  anyway for types of dugs wells angalia hapa
  Groundwater: Wells

  Pia jinsi ya kutengeneza water pumping solar station
  Build your own solar-powered water pumping station by Jeffrey Yago, P.E., CEM Issue #91
   
 10. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Way back 2002 tulichimba visima kama vitatu dsm jamaa nimisplace namba yake ila water table kwa dodoma iko mbali sana so check na wale wanaotumia machine pls.Enzi zile kwa machine kila ksima tulichimba kwa 3MILL inclusive of submersible pump installation ya 1HP.
  Unaweza check na wale jamaa wa visima wapo maeneo ya kamata pale opposite na shop rite ila wana gharama sana
   
 11. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #11
  Jul 4, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Mkuu Thanks a lot ila kwa taarifa zisizo rasmi naambiwa kuwa water table Dodoma ipo karibu sana tofauti na watu wanavyofikiri,I will try to check with them
   
 12. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #12
  Jul 4, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145

  Thanks boss I appreciate your concern
   
 13. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #13
  Jul 4, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145

  Thanks much ngoja niicheki I hope tutapata mwongozo tu hapa jamvini
   
 14. L

  LAT JF-Expert Member

  #14
  Jul 4, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  wakuu, nadhani hii mada hapa ni pana sana...... haiishii kwenye kuchimba kisima tuu ..... lazima tuangalie vitu kama.... je baada ya kuchimba kisima tunahifadhi maji kwa namna gani matanki ya ardhini (underground reservoir tanks) au suspended?au mabwawa (dam) ..... je technology gani na vifaa vyake itatumika kufanya umwagiliaji wa shamba hili ..? je miundo mbinu gani inayotakiwa..? na pia ni nishati gani itakayotumika kufanya umwagiliaji huu...? kumbuka ukichimba visima unahitaji pumps (submersible) na vifaa vingi vitumiavyo nishati ya umeme je kuna chanzo cha umeme unaokidhi mahitaji...?
   
 15. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #15
  Jul 4, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145

  Thanks Boss kwa kuipanua zaidi hii mada issue kwa upana wake ni jinsi ya kuset irrigation system I hope wataalam watakuja tu
  kwa issue ya source of energy I think Solar au Wind energy ndo vyanzo sahihi mkuu umeme wa Tanesco kwa haupo huko mashambani na hata kama ungekuwa umefika mazao yatakauka tu kutokana na mgao wa giza unaoendelea
   
 16. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #16
  Jul 4, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Kikubwa hapa ni unahitaji kulima nini katika hilo shamba na mahitaji ya zao lakoya maji. Ukishajua mahitaji ya maji ya zao vs ukubwa wa shamba then utajiuliza unahitaji maji kiasi gani kumwagilia hilo shamba lako. Hapo ndipo unafanya uamuzi wa kuchimba kisima. kwa Dodoma lazima uwe na kati ya 10 to 20 milions za kuchimbia kisima. Baada ya hapo utajiuliza unahitaji pump ya discharge gani? Kama discharge ni ndogo kama less than 5litres per second we nenda money maker nunua pump za mkono then mpe kazi mnyamwezi mmoja atakuwa anapiga mzigo kila siku kujaza tank lako la umwagiliaji. Ila kama discharge ya pump ni kubwa funga windmill, Dom kuna upepo wa kutosha na kama kubwa zaidi, lets say 50 and above litres per second hauna ujanja zaidi ya kuwafuata Tanesco na mgao huu sijui itakuwaje. Kwa pump ya 72litres per second toka South Africa lazima uwe na kama 18 Millions. Ukitaka ushauri zaidi ni PM halafu niambie una shs ngapi nikupigie kazi.
   
 17. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #17
  Jul 4, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,365
  Likes Received: 7,001
  Trophy Points: 280
  kwa Kifupi unaweza kupoteza pesa nyingi kwa kuchimba kisima kwa kubaatisha tu na mwisho wa siku hukakuta hakina maji, Gharama za kuchimba kisima ni kubwa sana nadhani mita moja inaenda kwa dola 50 mpaka 100 inategemea na kampuni na mashine wanayotumia (RIG) na kisima kinaweza kwenda mpaka meta 100. kwa hiyo kwa bei ya 50$ (ambayo ni bei ya chini sana) kwa mita 100 ni almost 5000$ (1600x5000=8000000) hapo bila gharama za mobilization na cost zingine

  Kitu cha muhimu ni kufanya survey ya maji, ili ujue acquifer hipo sehemu gani na wapi kuna posibility ya kupata maji, hiyo survey mara nyingi hufanywa na Geologists, Geophycists na HydroGeologists
  Survey kwanza inaanza na
  1) Magnetic Profiling -ambayo wanaangalia usumaku wa aina tofauti za miamba zilizopo chini ya ardhi in relation to the earth magnetic fields( hii ina cover eneo kubwa kiasi),
  2) Electromagnetic Survey-Hapa ile sumaku iliyopimwa inahusishwa na umeme kuangalia kama kuna uhusiano wowote (Hapa pia inacover eneo kubwa)
  3) Resistivity Survey- Zile sehemu zilizoonyesha kuwa kuna uhusiano wa Sumaku na Umeme unazipima kiukamilifu ili kujua kama kuna conductive media (Maji) chini ya Ardhi (Hii inacover eneo dogo kutokana na majibu ya 1 na 2), hii pia inakuonyesha kama maji yana chumvi ama yapo safi, mpaka hapa unaweza kujua kisima chako kitakuwaje, lakini kwa umakini zaidi wataalamu wanapenda kufanya njia ya nne pia
  4) Vertical Electical Soundings (VES)- hii inaweza kupredict the actual depth ambayo unaweza kuyapata hayo maji na probably lateral distance, kwa hiyo hizo point zako hapo ulizozipata hapo juu (number 3) unaziprioritize hipi iwe ya kwanza kuchimbwa na expected depth

  kwa hiyo ukishapata hiyo report ndio unaitafuta kampuni yako ya kuchimba ukiwa na uhakika wa >90%,
  nimeshuhudia watu wengi wana chimba visima na kupoteza gharama nyingi bila kupata maji amakupata maji ambayo muda si mrefu huwa yanakauka
  Unapozungumzia underground water basi inapaswa yawe maji yanayopatikana kwenye miamba chini ya Adrhi, uwepo wa maji juu haina maana hayo maji yapo mpaka chini

  kama kunakutokuelewa mniulize tu, maana vitu vingine kuvielezakwa kiswahili ni ngumu mno
   
 18. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #18
  Jul 4, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145

  I can't explain how much I have appreciated your contribution boss,ni kweli kuna ulazima wa kufanya survey kabla ya kuchimba unaweza kujua walau cost za kufanya hiyo survey? na how surveyors naweza kuwapata wapi?
   
 19. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #19
  Mar 31, 2016
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,365
  Likes Received: 7,001
  Trophy Points: 280
  Sasa hivi wapo wengi wanaofanya hiyo kazi japo poa wengi hawana uhakika kwa asilimia kubwa, eneo lako liko mahali gani?
   
 20. R

  REHEMA ZA MUNGU Member

  #20
  Apr 11, 2016
  Joined: Feb 20, 2016
  Messages: 39
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 15
  n
  Nafikiri ungetaja walau cost za kusurvey na majina ya walau wadau watatu wanne/au kampuni zinazofanya survey ungekua umetusaidia sana na wengine tukajifunza kupitia hili somo linaloendelea hapa, ahsante
   
Loading...