Search results

  1. Tatu

    Tatizo la maji Mjini Arusha sasa limekuwa sugu

    Tatizo la maji mjini Arusha sasa limekuwa sugu. Inakuwaje maji yanakatwa kwa zaidi ya siku tatu bila accountability yoyote? Shida hasa ni nini? Kumekuwa na mvua za kutosha Arusha na mikoa yote kwa ujumla kwa hiyo suala la upungufu wa maji isiwe kisingizio. Kwa kweli hii hali haikubaliki hata...
  2. Tatu

    Je APP Mpya Itakuwa ni Dawa Ya Wadaiwa Sugu

    Katika harakati zangu katika mtandao wa Google Play wa kutafuta dawa ya baadhi ya watu ambao ni wadaiwa sugu na wamekuwa wakinipiga chenga kwa ahadi za uongo kila kukicha, nimefanikiwa kupata app inayoitwa YOMM iliyotengenezwa na kampuni ya ZaidiSoft. Hii app inamuwezesha mtumiaji kuweka...
  3. Tatu

    New Petition at White House dot gov

    In order to bring attention to some of corruption and human rights violations that our leaders are involved in, it is time to take action. We can start a petition on USA's white house dot gov website targeting one leader at a time. For example, we can start one asking visa barn for the...
  4. Tatu

    Tuwape viongozi wa serikali yetu heshima na zaidi.....

    Hii ni mifano ya heshima ambazo viongozi wetu wanazo na zaidi. Kuwa mbunifu, mpe kiongozi wa serikali yako heshima anayostahili. Dr. J. K (Dha) Mh. Waziri mkuu (Mpu) Mh. Waziri wa Mambo ya Ndani (Gai) Unaweza kuendeleza
  5. Tatu

    JK na CCM Yake Wana Tofauti Gani na Huyu Mgawa Pesa kwa Gunia?

    Ni juzi tu JK alienda kuzika kwa huyu mshikaji wake, lakini inaelekea wote na vyama vyao wana kamchezo kamoja ikija mambo ya siasa. Endelea mwenyewe ................... KAMPALA, Uganda (AP) - Ugandan President Yoweri Museveni is facing criticism from anti-corruption activists for donating a...
  6. Tatu

    Wenye Maduka ya Biashara na Watumiaji Wengine - Nahitaji Mawazo Yenu

    Habari za leo wananchi. Nina wazo la ku-develop website ambayo inaweza kuwa ya msaada kwa wenye maduka ya biashara na watumiaji wa nyumbani. Kabla sijafanya hivyo, inabidi nifanye homework kidogo nione je kama kunahitajika huduma hiyo ya website au la kuliko kupoteza muda wangu. Najua kuna...
  7. Tatu

    Android phone and usage here in Tanzania

    Hello everyone. I have few questions about android phones and it's usage here in Tanzania. 1. Roughly, how many people use 2. If you do own one, what app stores do you have access to. Why am I asking these questions? I want to develop few apps targeting local population in East...
  8. Tatu

    Wachoraji wa Cartoons na Vichekesho

    Je unajua kuchora cartoons za vichekesho lakini huna platform ya kuwafikia watu? Kama wewe ni mmoja wao, wasiliana na mimi kwa Private Message tuongee zaidi.
  9. Tatu

    Mwisho wa Chama Cha Mafisadi Unakuja - The U.N. Declares Internet Access a Human Right

    By Adam Clark Estes Jun 06, 2011 The United Nations counts internet access as a basic human right in a report that bears implications both to on-going events in the Arab Spring and to the Obama administration's war on whistleblowers. Acting as special rapporteur, a human rights watchdog role...
  10. Tatu

    Log Designer Needed For MaishaYaShule.com

    Hello Everyone, I am looking for a graphic designer who can design a logo for "MaishaYaShule.com" website. All the details will be provided to the candidate who can prove that he/she can do and deliver the best work on time. The key important factor in your design should reflect the website...
  11. Tatu

    Meneja atupwa jela miaka 250 - Mfano wa Kuigwa

    MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi mkoani Kagera, imemhukumu Meneja wa Shirika la Posta tawi la Biharamulo mkoani Kagera, Claud Masali (52), kifungo cha miaka 250 baada ya kupatikana na makosa 50. Hukumu hiyo iliyosomwa kwa zaidi ya saa tatu na kuvuta hisia za wengi, ilitolewa jana na Hakimu Mkazi...
  12. Tatu

    Je Hii ni Funika Kombe ....? Nani Amehakiki?

    The Ministry of Agriculture, Food Security and Co-operatives received 40bn/- from the money recovered from the External Payment Arrears (EPA) account to support its 2008/2009 budget, making the total budget to be 157.53bn/-. Agriculture minister Stephen Wasira told the House when moving his...
  13. Tatu

    Kura ya maoni kwa "MAFISADI" itaanza lini?

    Je Rais na PM watatangaza lini kuhusu hatua ya sirikali kuwapigia kura ya maoni MAFISADI? Kwa sababu vyombo vya dola vimeshindwa kuwakamata hawa mafisadi kama ilivyo kwa wauaji wa maalbino, natumaini imefika wakati sasa sirikali kutangaza mpango wa KURA YA MAONI KWA MAFISADI. Najua mpango huu...
  14. Tatu

    Kikwete:Wanaoua albinokuanza kutajwa kwa kura mwezi huu

    Claud Mshana RAIS Jakaya Kikwete amesema kuwa, maandalizi ya zoezi la upigaji kura za maoni za kung'amua wauaji wa albino na vikongwe, limekamilika na litazinduliwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda. Akizungumza jana kwenye hotuba yake ya mwisho wa mwezi wa Februari, Rais Kikwete alisema kuwa...
Back
Top Bottom