Wachoraji wa Cartoons na Vichekesho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wachoraji wa Cartoons na Vichekesho

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Tatu, Jul 11, 2012.

 1. Tatu

  Tatu JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 6, 2006
  Messages: 1,081
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Je unajua kuchora cartoons za vichekesho lakini huna platform ya kuwafikia watu?

  Kama wewe ni mmoja wao, wasiliana na mimi kwa Private Message tuongee zaidi.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  mimi sio mchoraji ila a big fan
  so kama una project unaweza share pia nione vipi naweza shiriki
   
 3. Tatu

  Tatu JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 6, 2006
  Messages: 1,081
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Ni wazo tu katika harakati za kujiajiri na kuwapa wenye vipaji nafasi ya kuonyesha na kuendeleza vipaji vyao
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  kuna wabongo wanaweza mpaka cartoon za movie
  so jitahidini soko lipo
  mfano leo kuwe na movie ya cartoon ya bush stars na born town
  lazima ita hit..
   
 5. Tatu

  Tatu JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 6, 2006
  Messages: 1,081
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Shukrani. Natumaini watajitokeza
   
Loading...