Search results

  1. MkimbizwaMbio

    Laptop screen

    Wadau naombeni mnisaidie kunitajia sehemu wanapouza screen za laptop aina ya sony vio. Nimetafuta bila .mafanikio
  2. MkimbizwaMbio

    Ukata idara ya uhamiaji

    Yasemekana wameshindwa kutoa pass kwa muda mrefu kwa kukosa pesa za kutengenezea machine za kuchapia. Mimi binafsi nilijaza form za kubadili pasi yangu iliyoisha muda tangu mwaka Jana December lakini mpaka leo imekuwa nenda rudi bila mafanikio. Baada ya kufuatilia hilo, moja wa afisawa pale...
  3. MkimbizwaMbio

    Picha hii inatia uchungu na hasira kwa serikali

    Abelina Kitochi Mgonjwa aliyekuwa amelazwa katika wodi ya Sewahaji katika Hospitali ya Taifa Muhimbili iliyopo jijini Dar es Salaam jana akilia nje ya wodi hiyo baada ya kukosa huduma kwa siku kadhaa kufuatiwa na mgomo wa Madaktari bingwa na Wauguzi wanaogoma kuishinikiza serikali nyongeza...
  4. MkimbizwaMbio

    Wazee wa DSM na JK

    Nimekuwa nikijiuliza, Kwa nini kila mara JK anapokuwa na dukuduku hukimbilia kuongea na wazee wa jiji la Dar es Salaam. Hivi hawa wazee ndio Habari Maelezo ya JK??? Kuna nini hapa. Mbona sijasikia akiongea na Vijana wa DSM walio wengi kuliko hao wazee. Mwenye kujua siri kati ya JK na Wazee wa...
  5. MkimbizwaMbio

    Nauza mafuta ya alizeti

    Nauza mafuta ya alizeti. Ni pure kutoka singida. Hayajachakachuliwa. Dumu la lita tano ni shi. 18,000 Na dumu kubwa 70,000 Yapo mengi ya kutosha Wanunuzi naomba wani PM
  6. MkimbizwaMbio

    Kenya na tatizo la njaa

    Turkana eneo la kenya kuna njaa kali sana: watoto wanakufa na utopia mlo na watu wazima wameisha kweli: My take Kenya is still a poor country like TZ dont be proud and abuse TZ, let join to fight for poverty in east africa.
  7. MkimbizwaMbio

    Matokeo ya kidato cha sita yatangazwa.

    Wadau kwa wale wenye vijana waliofanya mtihani wa kidato cha sita. Matokeo yapo hewani kwenye website ya NECTA.
  8. MkimbizwaMbio

    Mahakamani kwa kumuingiza pampu ya baiskeli mtoto

    BWANA Richard Michael [19] Mkazi wa Ilala Maghorofani jijini Dar es Salaam, amefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Ilala kwa tuhuma za kumnajisi mtoto wa kiume kwa kumuingizia pampu ya baiskeli sehemu za siri. Imedaiwa na Mwendesha Mashitaka Honorina Munishi mbele ya Hakimu Careem Mushi kuwa...
  9. MkimbizwaMbio

    Hivi tatizo ni dowans au viongozi wetu?

    Nimepitia kwa makini document hii iliyotolewa na huyu jamaa anayejiita mmiliki wa DOWANS. Nimegundua kwamba tatizo si dowans tu, bali hata watendaji wetu wa serikali tuliowapa dhamana kubwa lakini wanazitumia vibaya. hebu pitieni hiyo press release ya huyu jamaa, mtoe comments zenu.
  10. MkimbizwaMbio

    Wanajeshi wafunga barabara ya morogoro

    Nipo njiani kuelekea arusha.Wanajeshi wameleta usumbufu mkubwa hapa mlandizi kwa kuegesha lori na kuziba barabara. Sababu haijulikani.
  11. MkimbizwaMbio

    Misri hali ni tete usiku wa kuamkia leo

    Misiri Bado hali ni Tete. charge.html"]http://www.thesun.co.uk/sol/homepage/news/3387731/Thugs-in-Egypt-loyal-to-tyrant-Mubarak-spark-orgy-of-violence-in-Cairo-with-camel-cavalry-charge.html[/URL]
  12. MkimbizwaMbio

    TANZANIA - Corruption increased in 2010.

    The Corruption Perception Surveys (CPS) report published by the Concern for Development Initiatives in Africa (ForDIA) has indicated increasing levels of corruption in Tanzania during 2010. The study conducted between March and June 2010 gauging public perception in relation to functioning...
  13. MkimbizwaMbio

    Hivi serikali hii imelogwa?

    Taarifa kwa vyombo vya Habari Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa inafuatilia kwa ukaribu taarifa kuhusu uamuzi wa Mahakama ya Southwark mjini London, Uingereza kuiamuru Kampuni ya BAE Systems ya Uingereza kulipa faini ya Paundi za kiingereza laki tano 500,000 kwa kushindwa...
Back
Top Bottom