Matokeo ya kidato cha sita yatangazwa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo ya kidato cha sita yatangazwa.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MkimbizwaMbio, Apr 28, 2011.

 1. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wadau kwa wale wenye vijana waliofanya mtihani wa kidato cha sita. Matokeo yapo hewani kwenye website ya NECTA.
   
 2. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  thnx for updates
   
 3. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,292
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Haya sasa na tuone hzo sifuri.! Walengwa sasa pressure iko juu.
   
 4. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,515
  Likes Received: 1,685
  Trophy Points: 280
  s0248 marian girls secondary school

  div-i = 105
  div-ii = 18
  div-iii = 14
  div-iv = 0
  fld = 0
   
 5. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hawa watoto wanatisha sana
   
 6. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280
  hao ni noma mkuu nasikia hawachukui vilaza

  thanks for updates
   
 7. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,067
  Trophy Points: 280
  Hii 'phylosophy' huwa inanipa taabu kidogo.....kama shule kazi yake ni kutoa ujinga kwa nini hawachukui vilaza! Inawezekana tunaipa shule/walimu credits wasizostahili?
   
 8. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #8
  Apr 28, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280
  exactly thanks kwa kusoma between the lines

  Kumbuka kuwa hizi shule za binafsi, zinataka kutengeneza jina ili kuweza kuatract wanafunzi wengi kwa bei kubwa zaidi

  sasa hapo St MArian usishangae hata wale 'wenye akili' wanaokuwa wamefaulu kwenda shule za umma, wazazi wanajipinda waende huko! Hiyo ada yake usipime, ma mchujo aka interview huwa ni mkali sana kuweza kupata ile cream ili iwe rahisi kuwafaulisha


  hizi shule za binafsi baadhi yake ni a blessing in disguise, kama taifa tunahitaji mjadala kuhusu hizi shule, mjadala usiishie tu kwa shule za kata

  angalia amtokeo ya Ilboru, Kibaha, etc yanasikitisha!
   
 9. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #9
  Apr 28, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nani wa kulaumiwa hapo? Kwa nini wanakimbilia huko?
  JIBU: Serikali imeshindwa kuendesha shule zake kwa kuwa watoto wao hawasomi humo.
  UBAGUZI,UBINAFSI
   
 10. K

  KWELIMT Member

  #10
  Apr 28, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ubarikiwe mkubwa kwa update yako!ngoja 2kaangalie wale maginius waliotoka kata wamevuna nini!
   
 11. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #11
  Apr 28, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,428
  Likes Received: 12,694
  Trophy Points: 280
  hizo shule zenye 00000 kwasana ndo wale wanafunzi ambao muda wote wapo guest na kwenye mambo yasiyo na tija ktk life zao ******
   
 12. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #12
  Apr 28, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  tatizo hizi website za kiTZd ni ngumu kufungua pindi matokeo yanapotangazwa.
   
 13. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #13
  Apr 28, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hata hotelini hapo: Giraffe Ocean View Hotel wanakuja sana tu na vibosile
   
 14. D

  Don T Member

  #14
  Apr 28, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuna gape kubwa kati ya matajiri na maskini tanzania ndo maana shule za kishua hata mwanafunzi awe kilaza namna gani hafeli hata siku moja lakini nenda shule za serekali zero kibao
   
 15. m

  mohamed ally Member

  #15
  Apr 28, 2011
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi mwenyewe inanishangaza sana sijui network yetu huwa inazidiwa na resurlt za watoto wetu wanakuwaga labda necta imebarikiwa ma mafisadi
   
 16. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #16
  Apr 28, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Naam ndugu tumeyaona,na wenye kufurahi wamefurahi ,wenye kusikitika ndio hivyo tena ni majonzi,wanabaki na ninge.........
   
 17. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #17
  Apr 28, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Fafanua mkuu.
   
 18. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #18
  Apr 28, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Mimi ndugu yangu nishaona IV yake ya 18. Saaafi!
   
 19. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #19
  Apr 28, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Umejaribu au ndio utamaduni wa kulalamika bila kuchukua hatua. Mbona tunaangalia kirahisi kabisa
   
 20. R

  Reena Member

  #20
  Apr 28, 2011
  Joined: Jul 2, 2008
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mozilla firefox ipo fast zaidi
   
Loading...