Hivi tatizo ni dowans au viongozi wetu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi tatizo ni dowans au viongozi wetu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MkimbizwaMbio, Feb 23, 2011.

 1. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nimepitia kwa makini document hii iliyotolewa na huyu jamaa anayejiita mmiliki wa DOWANS. Nimegundua kwamba tatizo si dowans tu, bali hata watendaji wetu wa serikali tuliowapa dhamana kubwa lakini wanazitumia vibaya.


  hebu pitieni hiyo press release ya huyu jamaa, mtoe comments zenu.
   

  Attached Files:

Loading...