Laptop screen | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Laptop screen

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by MkimbizwaMbio, May 18, 2012.

 1. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wadau naombeni mnisaidie kunitajia sehemu wanapouza screen za laptop aina ya sony vio.
  Nimetafuta bila .mafanikio
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Jengo la Simba Sports Club, Msimbazi
  Kariakoo jamaa wanaitwa bestbuy Computers wanazo bei ni 220,000/-
  Waone
   
 3. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ahsante sana kesho nitapita hapo.
   
 4. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Bora ungekaa Kimya badala ya kutoa habari za uongo. Nimefika mpaka hapo hakuna kitu kama hicho.
   
 5. mpungara

  mpungara Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  taja model ya laptop yako ili tukupe bei kwani zinatofautiana kwa ukubwa na vitu vingine
   
 6. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  VGN-TXN27N.

  Nimefika hapo mkaniambia hakuna.
   
Loading...