Picha hii inatia uchungu na hasira kwa serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha hii inatia uchungu na hasira kwa serikali

Discussion in 'Jamii Photos' started by MkimbizwaMbio, Feb 7, 2012.

 1. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hoi-sewahaji.jpg

  [​IMG]
  Abelina Kitochi Mgonjwa aliyekuwa amelazwa katika wodi ya Sewahaji katika Hospitali ya Taifa Muhimbili iliyopo jijini Dar es Salaam jana akilia nje ya wodi hiyo baada ya kukosa huduma kwa siku kadhaa kufuatiwa na mgomo wa Madaktari bingwa na Wauguzi wanaogoma kuishinikiza serikali nyongeza ya mishahara. Picha na Venance Nestory

  ------------------------
  Ipo siku watu wataishiwa subra, na nchi hii patakuwa hapatoshi.
   
 2. B

  Baba Collins JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  I can't wait anymore,subira hakuna tena,lililopo kwa sasa ni ku deal na viongozi mpaka kieleweke,tukimtoa mmoja kafara watashika adabu.
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Inatia uchungu sana.
   
 4. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  wenzake wamekula ngombe 50 mwanza,kwani yeye hakuichagua ccm?
   
 5. tembeleh2

  tembeleh2 JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 768
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ni kweli inatia uchungu sana, lakini ni vizuri zaidi kuchimbua chanzo cha tatizo hilo. Kwa mawazo yangu chanzo ni wanaowapunja madaktari posho zao. Hao ndio wa kulaumiwa.
   
 6. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Kidumu chama cha mapinduzi!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 7. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #7
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wa TZ ni watu wa kuwaonea huruma. Ikifika muda wa uchaguzi wanasahau yote haya.
   
 8. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #8
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Usiogope kusema, Chanzo ni JK na Serikali yake.
   
 9. H

  HERBERGONER Member

  #9
  Feb 7, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haki haiombwi serikali inalazimika kulipa madaktari na si vinginevyo wkt umefika kwa wtz kusimama imara na kuipinga serikali kwny mambo yanaloligusa taifa
   
 10. K

  KENNED New Member

  #10
  Feb 7, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 11. K

  KENNED New Member

  #11
  Feb 7, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inahuzunisha zaidi pale ambapo viongozi wao walio wachagua hawawajali na wala hawaambiliki ila wananifurahisha pale wanapopewa kofia kanga na tsht huku wakiwazomea wapambanaji wa ukweli watz tubadilike jamani...ishu ya madokta ni yetu sote
   
 12. King2

  King2 JF-Expert Member

  #12
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Serikali si inajifanya kibri.. Madaktari wanawaonesha kwamba wao wanajua zaidi.
   
 13. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #13
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  natamani kama ningekuwa bilionea ningewalipa warudi kazini serikali inawatesa sana afu wanaokaa,kusimama na kulala poshoz ndio kubwaaaa,wajinga ndio waliwao.
   
 14. yatima

  yatima JF-Expert Member

  #14
  Feb 7, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 354
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  vilio na machozi - damu za watu wanaopoteza maisha vitakuwa juu ya SERIKALI YA CCM NA VIONGOZI WAKE

  Mungu TUSAIDIE WATANZANIA
   
 15. M

  Marytina JF-Expert Member

  #15
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
   
 16. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #16
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  jamani, ................mbali na huyo mama anayehojiwa na mwandishi wa habari...................mimi hao akina mama wenye watoto wananiliza ....................... sijui watoto hao wanaumwa nini............... malaika wa Mungu, wamekosea nini kuzaliwa nchi hii??................. na huduma ndo hivyo tena.....................

  ee Mwenyezi Mungu zuia magonjwa kwa wakati huu ...................angalau kwa wale wasioweza kukwea mapipa kutibiwa india..................... hadi serikali imalize michakatozzzzzzzzzzzzz.............................
   
 17. B

  Baikoko Senior Member

  #17
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ...As we cry today, JK&Co. will cry forever... Natamani Mungu angepokea sala yangu bila editing yoyote
   
 18. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #18
  Feb 7, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  wamethubutu,wameweza,wanasonga mbele
   
 19. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #19
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sidhani, Labda wamethubutu kuongeza nyumba ndogo.
   
 20. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #20
  Feb 7, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  na baaaaaado kazi tunayo
   
Loading...