Wanajeshi wafunga barabara ya morogoro

Wanajeshi wafunga barabara ya morogoro

MkimbizwaMbio

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
867
Reaction score
331
Nipo njiani kuelekea arusha.Wanajeshi wameleta usumbufu mkubwa hapa mlandizi kwa kuegesha lori na kuziba barabara. Sababu haijulikani.
 
bongo bwana kisa ni wanajeshi.............haya nawe ufike salama
 
subiri wakifungu pita, hoji upigwe utoke minundu na huna pa kushtaki

karibu arusha
 
wanajeshi co wehu hawawezi funga barara for no reason lazima kutakuwa na sababu. Mbona malori yetu raia yanafunga barabara kila leo na hatu andiki? Tafuta sababu ndo uandike.
 
Sasa huko arusha unapoelekea ndio balaa!kuna kipindi ile mijamaa huingia mjini ikitokea monduli,basi hutoa kisago wee na kurudisha heshima ya jeshi.
 
Sasa huko arusha unapoelekea ndio balaa!kuna kipindi ile mijamaa huingia mjini ikitokea monduli,basi hutoa kisago wee na kurudisha heshima ya jeshi.

hii huwa inatokea Arusha sehemu gani?
 
sasa kama wanajeshi wamefunga njia intelijensia iko wapi.... mbona magari ya maji ya upupu na FFU hawapelekwi
 
Huwe kuwauliza wapo kishari sana ukisogea unataduta balaa, ni wengi kama mabasi manne ya jeshi wameshuka wapo barabarani.

hivi kisheria raia akisumbuliwa na mjeshi anatakiwa afanye nini?....ni sheria ipi inamlinda mwananchi dhidi ya hawa viumbe.....
 
Unajua kanuni ya wanajeshi ni kupambana 'resistance' yani ukileta ubishi jamaa ndio wanaona wamepata kazi.mkuu nakushauri chonde chonde usishuke !!
 
Mkuu si umeona ajali ile ndio maana. Gari zao kubwa 2 zimepata ajali. Ya mbele iligongwa na semi,wanyuma akajibamiza. Tuko njia moja. Uko na gari gani nipigie hata honi nikikukuta.
 
hivi kisheria raia akisumbuliwa na mjeshi anatakiwa afanye nini?....ni sheria ipi inamlinda mwananchi dhidi ya hawa viumbe.....

Kusumbuliwa kwa maana ipi Preta? Kama umepigwa na mwanajeshi, sheria ni ileile tuu kama raia wa kawaida. Nenda Polisi kafungue mashitaka na atakamatwa na kupelekwa mahakamani kama raia yeyote yule. Kwa hiyo hilo lisikutishe kabisa.
 
Mkuu si umeona ajali ile ndio maana. Gari zao kubwa 2 zimepata ajali. Ya mbele iligongwa na semi,wanyuma akajibamiza. Tuko njia moja. Uko na gari gani nipigie hata honi nikikukuta.
Nashukuru kwa ufafanuzi mkuu maana wajeda walitaka kuingia msambweni kwa kuonekana wanaendekeza ubabe! Unayoyaona inawezekana katika magari yao kukawa na silaha nzito sasa ni lazima wawe makini kidogo lakini ni imani yangu wataliondoa gari lao njiani mapema ili safari zenu ziendelee kama kawaida.
 
Back
Top Bottom