Mahakamani kwa kumuingiza pampu ya baiskeli mtoto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahakamani kwa kumuingiza pampu ya baiskeli mtoto

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MkimbizwaMbio, Mar 25, 2011.

 1. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  BWANA Richard Michael [19] Mkazi wa Ilala Maghorofani jijini Dar es Salaam, amefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Ilala kwa tuhuma za kumnajisi mtoto wa kiume kwa kumuingizia pampu ya baiskeli sehemu za siri.

  Imedaiwa na Mwendesha Mashitaka Honorina Munishi mbele ya Hakimu Careem Mushi kuwa, mshtakiwa alitenda kosa hilo Machi 14, mwaka huu, majira ya saa 11 akiwa maeneno hayo ya maghorofani.

  Imedaiwa kuwa mshtakiwa alimuingiza pampu itumikayo kujaza upepo wa baiskeli sehemu zake za siri kwa makusudi mtoto na kumsababishia maumivu makali mtoto.

  Hata hivyo mshitakiwa huyo alikanaka mashtaka hayona kurudishwa rumande na kesi hiyo iliahirishwa na itatajwa tena Aprili 4, mwaka huu.
   
 2. LD

  LD JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Dah!!!!!
  Wamuingize na yeye aipate freshi, sasa wanasubiri nini wakati kashamharibu mtoto wa mwenzie. Ni mtu au ni pepo hilo.
   
 3. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  mxii sijui tunaenda wapi binadamu loh
  ni heri ukutane na mnyama ujue moja
  roho ya kishetani kabisa hiyo mxii
   
Loading...